Maneener nina majonzi ila mmbea wewe umenchekesha.
Hiki kifo ndo tujifunze wasichana,waume za watu si dili ona anavyosikitikiwa instagram utafikiri mjamaa alikuwa single tena wanasema eti mchumbake haaaa..sipati picha mke wake ana maumivu kiasi gani...
Tena kafia kwake
Anaitwa LUSEKELO MWANDENGA, alikuwa anamuokoa Mtoto wake ndio yeye kuangukia kioo na kufa hapo hapo! Rip, soooo sad for loulou!
Alipata 4 billion akaacha mke, akaanza ku date na lullu, mpaka mauti, hawa wanaume zetu hawa........... Kha!
yap ana WATOTO na mke, Sema walitengana na mkewe sababu ya lulu
Alipata 4 billion akaacha mke, akaanza ku date na lullu, mpaka mauti, hawa wanaume zetu hawa........... Kha!
Nop cyo gundu seki amefariki mc hana kwake mbezi beach alikua amekalia meza y kioo ghafla ikavunjika,so kioo kikamchoma kwenye paja mshipa ukakatika n tumboni so kapelekwa hosp bt bliding ilikua kubwa ndio akafariki do sad r.i.p mutu wa watu sekioni
Alipata 4 billion akaacha mke, akaanza ku date na lullu, mpaka mauti, hawa wanaume zetu hawa........... Kha!
Nop cyo gundu seki amefariki mchana kwake mbezi beach alikua amekalia meza y kioo ghafla ikavunjika,so kioo kikamchoma kwenye paja mshipa ukakatika n tumboni so kapelekwa hosp bt bliding ilikua kubwa ndio akafariki do sad r.i.p mutu wa watu sekioni
Jamaani nina tetesi sijui umbea
Zilisikika tetesi lulu michael yule muigizaji huwa anaendaga kwa mganga kuroga,sasa akapewa masharti ya kumtoa mama ake kafara,akashindwa so akaambiwa kama huwezi mama ako,basi mtoe mwanaume yeyote ambae nyota ake inafanana na mama ako ambayo ni Aquarius,thats why Kanumba was Aquarius,and so the new guy he is dating now
Ni mme wa mtu anaitwa Seki,sasa the wife ni mcha mungu,anaomba sana..she travelled akaenda kwa tb joshua,tb joshua akamwambia sali sana mama,kuna msichana yupo ivi ivi na ivi(features za lulu michael)
Akaambiwa uyo msichana ana mganga wake ambae wameingia kwenye maagano ya kutoa watu kafara ambao wana nyota ya aquarius so omba sana mama maana maisha ya mume wako yapo hatarani
Mwanaume kaja kuambiwa,haelewii maana nasikia anampenda hotlulu haelewii..
Hapa ninavyosikia the guy amefariki tena kama kifo cha kanumba cha kudondoka na kupiga kichwa chini..
Na leo ni birthday ya lulu..
Mmmh yan Mungu amtie nguvu kwanza huyu mtoto
Msibani ataenda
Maskini kamefunga account ista namuonea huruma sana maana kidonda kimetoneshwa.
Namuomba Mungu awe sawa pia na yeye aombe sana na kusali maana...