Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Maneener nina majonzi ila mmbea wewe umenchekesha.
Hiki kifo ndo tujifunze wasichana,waume za watu si dili ona anavyosikitikiwa instagram utafikiri mjamaa alikuwa single tena wanasema eti mchumbake haaaa..sipati picha mke wake ana maumivu kiasi gani...

Mie mwenyewe nawashangaa sana Ig.Marehemu kaacha mjane hata le mutuz kasema.
 
Anaitwa LUSEKELO MWANDENGA, alikuwa anamuokoa Mtoto wake ndio yeye kuangukia kioo na kufa hapo hapo! Rip, soooo sad for loulou!

So hakua kwa Lulu? Huu umbeya nusunusu unatupa shida.
 
Alipata 4 billion akaacha mke, akaanza ku date na lullu, mpaka mauti, hawa wanaume zetu hawa........... Kha!

Nasikia alianza ukaribu na mkewe tena.Lulu alisemaga huyu jamaa anatoa asilimia tisin za expense za lulu kimaisha kwa sasa.Akasema ataolewa sijui vikaishia wapi
Mwe rip mfadhili ingawa atapata mfadhili mwingime mkali kuliko wewe.
 
poa amu mdogo wangu, wanadai they were together when the guy passed away leo jioni. Khaaaaa namhurumia
Teh Teh
Mmh nasikia harufu ya Manslaughter tena duu! Huyu binti ana hitaji maombi...
 
Last edited by a moderator:
Alipata 4 billion akaacha mke, akaanza ku date na lullu, mpaka mauti, hawa wanaume zetu hawa........... Kha!

Sikweli kuwa aliachana na mkewe alikuwa anamahusiano na Lulu huku pia akiwa anaendelea na mke wake, ila uhusiano wake na Lulu haukuwa wa kificho sababu yeye mwenyewe pia alikuwa anasema ana mahusiano na Lulu
 
Nop cyo gundu seki amefariki mc hana kwake mbezi beach alikua amekalia meza y kioo ghafla ikavunjika,so kioo kikamchoma kwenye paja mshipa ukakatika n tumboni so kapelekwa hosp bt bliding ilikua kubwa ndio akafariki do sad r.i.p mutu wa watu sekioni

Oky.Polen kwa kufiwa.
 
Alipata 4 billion akaacha mke, akaanza ku date na lullu, mpaka mauti, hawa wanaume zetu hawa........... Kha!

Dunia ina maajabu sana aiseee, yaani mtu unamuacha mkeo kisa Lulu!!
 
Nop cyo gundu seki amefariki mchana kwake mbezi beach alikua amekalia meza y kioo ghafla ikavunjika,so kioo kikamchoma kwenye paja mshipa ukakatika n tumboni so kapelekwa hosp bt bliding ilikua kubwa ndio akafariki do sad r.i.p mutu wa watu sekioni

even if binamu
ila lulu mi simuonei huruma ht kidogo
maana mke MUNGU kamlipa hapahapa shenzyyyyy zake
yaani mme wa mtu unaonesha ulimwengu mzima km anakuweka mjini
hv mkewe alikua anajiskiaje labda..!!!!
bora ulivyomchukua pumbavu zake huyu paka la baa
 
Jamaani nina tetesi sijui umbea
Zilisikika tetesi lulu michael yule muigizaji huwa anaendaga kwa mganga kuroga,sasa akapewa masharti ya kumtoa mama ake kafara,akashindwa so akaambiwa kama huwezi mama ako,basi mtoe mwanaume yeyote ambae nyota ake inafanana na mama ako ambayo ni Aquarius,thats why Kanumba was Aquarius,and so the new guy he is dating now
Ni mme wa mtu anaitwa Seki,sasa the wife ni mcha mungu,anaomba sana..she travelled akaenda kwa tb joshua,tb joshua akamwambia sali sana mama,kuna msichana yupo ivi ivi na ivi(features za lulu michael)
Akaambiwa uyo msichana ana mganga wake ambae wameingia kwenye maagano ya kutoa watu kafara ambao wana nyota ya aquarius so omba sana mama maana maisha ya mume wako yapo hatarani
Mwanaume kaja kuambiwa,haelewii maana nasikia anampenda hotlulu haelewii..
Hapa ninavyosikia the guy amefariki tena kama kifo cha kanumba cha kudondoka na kupiga kichwa chini..
Na leo ni birthday ya lulu..

hili nalo neno hilii...!!!
tutataskia mengi@nifah
 
Back
Top Bottom