Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Huyu alisema ameshasonga mbele mama Kanumba asimsumbue na zile ahadi.Eti alishalia sana anachojali ni mwanae na mamake.Alisahau hii dunia tu.
 

Seki alikua hom kwake amekalia meza y kioo ghafla ile meza ikavunjika kipande cha kioo kikakata mshipa mkubwa kwenye paja na kingine kikamchoma tumboni so blinding ilikua n kasi madokta wamejitahidi sana kuokoa life yake.
Hizo stori zingine z redio mbao ms lincolin cjui nyota au embassy mtu akifa yatasemwa mengi
 
Huyu alisema ameshasonga mbele mama Kanumba asimsumbue na zile ahadi.Eti alishalia sana anachojali ni mwanae na mamake.Alisahau hii dunia tu.

Yani tokea hapo alinitoka kabisa...mtoto mkavu yule hana hata chembe ya aibu..kutwa kurusha watu roho kumbe mfadhili mume wa mtu.Mungu atamlipia huyo mke wa marehemu time will tell.
 

Mbona nasikia kapata ajali? Na picha yake ninayo apa inatisha sana
 
Nop cyo gundu seki amefariki mchana kwake mbezi beach alikua amekalia meza y kioo ghafla ikavunjika,so kioo kikamchoma kwenye paja mshipa ukakatika n tumboni so kapelekwa hosp bt bliding ilikua kubwa ndio akafariki do sad r.i.p mutu wa watu sekioni

Mbona nasikia ajali jaman na picha yake ninayo kapasuka vbya usoni au ni uongo
 
Alipata 4 billion akaacha mke, akaanza ku date na lullu, mpaka mauti, hawa wanaume zetu hawa........... Kha!

Hajawahi mwacha mkewe hata cku moja na mali zake zote mkewe ndio alikua msimamizi thou ni muajiriwa w serikali.pia kuhusu 4bn ni kias kidogo sana mana alikua n assets more than hiyo hela kuanzia dar n dodoma.wanadamu tuna maneno sana sekioni alikua anamuheshimu mkewe sana n alikua anafanya umalaya kisiri.

Mwezi w 2 tulikua nae dom n mkewe amejenga hotel kubwa sana jirani n saint gasper ilikua ndio imefika ghorofa y 3.mkewe ni msomi so kila ki2 alikua anafuatilia kuanzia ma apartments dar na hostel dodoma anazo 4
 

Malaya mbwa kabisa, badala kufanya kazi linaharibu ndoa za watu, anataka makubwa ndio maana yanampata makubwa
 
Huyu alisema ameshasonga mbele mama Kanumba asimsumbue na zile ahadi.Eti alishalia sana anachojali ni mwanae na mamake.Alisahau hii dunia tu.

Asiyefunzwa na ***** ufunzwa na ulimwengu, na bado, kufa hafi ila cha moto atakiona
 
Nipo njian naelekea mbezi ivoo, maana nimechanganyikiwa apa ata sielewi utadhan marehemu ni kaka angu

Ha ha ha ha!
Nmecheka utadhani sipo msibani.Utanikuta hapa ila msiba wa mabilionea hamna kulia.Kama umevaa ovyo kajipange.
 

Maskini lulu anaambulia maumivu tu arithi ata kijiko manina, raha zote zimemuisha
 
Ubuyu njoo..utamu kolea
Wekeni picha za huyo shemeji basi.

may his soul rip
 
Maskini lulu anaambulia maumivu tu arithi ata kijiko manina, raha zote zimemuisha

Alivopata vinamtosha atiii! Kama hawala yake alikua ni billionea kama kweli alikua na akili account yake isipokua na japo millioni mia tano basi naye limbwata hakulikoleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…