Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake


Binadamu tuna visa angemuheshimu mkewe angetoka nje ya ndoa yake,
 
Johnson Lukaza wa sakata la EPA google jina lake ana kampuni zaidi ya kumi hapa jijini ile chaser nyeupe ya.lulu yeye ndio alimuhonga

Lulu ana chaser nyeupe? Sio rav 4 mlango mmoja new model?
 
Wala bidada hakuwa na makeke, amejishika na ajira yake, anamwacha mume ale ujana lakini ndiyo hivyoo Mungu kaamua yake.

MUNGU mwema sana yule mzinzi kwenye ndoa ndo huanza kufa
oohh MUNGU tunusuru sie
 
Kapangiwa, analipa laki tisa kwa mwezi, upo apo? ***** lulu anakula maisha nyie muache tu aenyeke uko, kasharusha roho watu sana

shenzyyyyy
wabaya wake leo fuu bata
bethdei binamu ipo lakini?
 
Siyo hiyo hizo picha z ajali y jana zilikua hapa jf yeye kapata ajali ndani kwake leo mchana.lulu nipe mie nimlele kufa kupo tu binamu

Ni sheeda, naona ka delete account yake ya instagram, dah anaishi maisha magumu sana kipindi hiki, alitaka maisha makubwa, acha yampate makubwa
 
shenzyyyyy
wabaya wake leo fuu bata
bethdei binamu ipo lakini?

Wabaya wake leo sherehe manina, ila lulu alibadilika, ata kwenye birthday yake mwaka jana kulikuwa na ndugu zake tu, hakuna sta wala marafik zake wa ajabu waliohudhuria, kwa marafiki alijifunza kitu sema umalaya tu ndo alishindwa kuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…