Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Hajawahi mwacha mkewe hata cku moja na mali zake zote mkewe ndio alikua msimamizi thou ni muajiriwa w serikali.pia kuhusu 4bn ni kias kidogo sana mana alikua n assets more than hiyo hela kuanzia dar n dodoma.wanadamu tuna maneno sana sekioni alikua anamuheshimu mkewe sana n alikua anafanya umalaya kisiri.

Mwezi w 2 tulikua nae dom n mkewe amejenga hotel kubwa sana jirani n saint gasper ilikua ndio imefika ghorofa y 3.mkewe ni msomi so kila ki2 alikua anafuatilia kuanzia ma apartments dar na hostel dodoma anazo 4

Binadamu tuna visa angemuheshimu mkewe angetoka nje ya ndoa yake,
 
Johnson Lukaza wa sakata la EPA google jina lake ana kampuni zaidi ya kumi hapa jijini ile chaser nyeupe ya.lulu yeye ndio alimuhonga

Lulu ana chaser nyeupe? Sio rav 4 mlango mmoja new model?
 
Wala bidada hakuwa na makeke, amejishika na ajira yake, anamwacha mume ale ujana lakini ndiyo hivyoo Mungu kaamua yake.

MUNGU mwema sana yule mzinzi kwenye ndoa ndo huanza kufa
oohh MUNGU tunusuru sie
 
Kapangiwa, analipa laki tisa kwa mwezi, upo apo? ***** lulu anakula maisha nyie muache tu aenyeke uko, kasharusha roho watu sana

shenzyyyyy
wabaya wake leo fuu bata
bethdei binamu ipo lakini?
 
Siyo hiyo hizo picha z ajali y jana zilikua hapa jf yeye kapata ajali ndani kwake leo mchana.lulu nipe mie nimlele kufa kupo tu binamu

Ni sheeda, naona ka delete account yake ya instagram, dah anaishi maisha magumu sana kipindi hiki, alitaka maisha makubwa, acha yampate makubwa
 
shenzyyyyy
wabaya wake leo fuu bata
bethdei binamu ipo lakini?

Wabaya wake leo sherehe manina, ila lulu alibadilika, ata kwenye birthday yake mwaka jana kulikuwa na ndugu zake tu, hakuna sta wala marafik zake wa ajabu waliohudhuria, kwa marafiki alijifunza kitu sema umalaya tu ndo alishindwa kuacha
 
Back
Top Bottom