Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

Da amekufa siku ya birthday ya Lulu da atakuwa analia mengi labda kuna zawadi angepewa leo.
 
Huyo mzee anapiga mizinga mbaya yeye anajua matajiri wote tz anajifanya anamjua seki kumbe kamba tu
le mutuz bwana,eti seki ni super friend wake,jamani le mutuz mabilionea wote ni masuper friend wake
 
le mutuz bwana,eti seki ni super friend wake,jamani le mutuz mabilionea wote ni masuper friend wake

Huyu mzee anapenda kujikweza sana ukimwambia ukweli anajifanya kasoma sana n blahblah kibao,cku zote ukiona mtu anajisifia ujue hana kitu maisha yke anayajua mwenyewe
 
Huyu mzee anapenda kujikweza sana ukimwambia ukweli anajifanya kasoma sana n blahblah kibao,cku zote ukiona mtu anajisifia ujue hana kitu maisha yke anayajua mwenyewe

Umeona eti kaweka picha yupo kwenye msiba analia kaficha USO Sijui alimwambia Mtu ampige picha ...watu kwa kupenda sifa.
 
Marehem hakuishi Mbezi Beach ila alokuwa anakaa Mivumoni Block 6. karibu na Madale. ambapo ana jumba la maana. Msiba huko hapo.
 
Sikweli kuwa aliachana na mkewe alikuwa anamahusiano na Lulu huku pia akiwa anaendelea na mke wake, ila uhusiano wake na Lulu haukuwa wa kificho sababu yeye mwenyewe pia alikuwa anasema ana mahusiano na Lulu
ahsante kwa kunielewesha mwaya!
 
Uigizaji? Kuendekeza ngono mtoto mdogo ndo maana yanamkuta makubwa, mama yake naye tumchambe, anajua fika mwanae anatoka na mume wa mtu, ye anafuraia tu pesa, mama lulu sio mlezi mzuri, atamuua mtoto wake nakwambia kwa kuendeza tamaa
mama lulu ni sheitwani wallahi! enzi zangu mama akisikia tu tetesi za jirani fimbo utakazokula na kuhamishwa shule hutarudia, ndio itakuwa mume wa mtu kweli??
 
mama lulu ni sheitwani wallahi! enzi zangu mama akisikia tu tetesi za jirani fimbo utakazokula na kuhamishwa shule hutarudia, ndio itakuwa mume wa mtu kweli??

Ukite mama mtu ndo kamshauri beba na mimba ili ule hela zake vizuri
 
Hivi wa kulaumiwa ni Lulu au Seki mwenyewe yeye anamke kilichomfanya kuwa na Lulu ni nini?Kama alikuwa hana maelewano na mkewe na akawa anahitaji mchepuko si angeenda pale sinza akajitimizia haja zake maisha yakaendelea.
 
mtoto asione kichaka anataka kunyaaa!! aendelee kuiba atakuja kutembea uchi Kariakoo. me naona wanamchelewesha huyu mtoto, wamnyweshe dawa.
 
Jamaani nina tetesi sijui umbea
Zilisikika tetesi lulu michael yule muigizaji huwa anaendaga kwa mganga kuroga,sasa akapewa masharti ya kumtoa mama ake kafara,akashindwa so akaambiwa kama huwezi mama ako,basi mtoe mwanaume yeyote ambae nyota ake inafanana na mama ako ambayo ni Aquarius,thats why Kanumba was Aquarius,and so the new guy he is dating now
Ni mme wa mtu anaitwa Seki,sasa the wife ni mcha mungu,anaomba sana..she travelled akaenda kwa tb joshua,tb joshua akamwambia sali sana mama,kuna msichana yupo ivi ivi na ivi(features za lulu michael)
Akaambiwa uyo msichana ana mganga wake ambae wameingia kwenye maagano ya kutoa watu kafara ambao wana nyota ya aquarius so omba sana mama maana maisha ya mume wako yapo hatarani
Mwanaume kaja kuambiwa,haelewii maana nasikia anampenda hotlulu haelewii..
Hapa ninavyosikia the guy amefariki tena kama kifo cha kanumba cha kudondoka na kupiga kichwa chini..
Na leo ni birthday ya lulu..

Me naomba kufahamu aquarius ndio nyota gani?
 
Back
Top Bottom