hebu jiulize kama marehemu angekuwa hai ungekuta yeye ndo yupo ndani kwa kutembea na kajitoto ka miaka chini ya 18
Pole zake lulu,, mwache arudi nyumbani apumzike maana mwaka 2012 hatausahau maishani mwake...
Wenye uelewa wa mambo ya dhamana mnisaidie ili swali " hivi hiyo hela aliyotolewa dhamana itarudishwa kama akishinda kesi au ndo mali ya mahakama?
Anaham!! Kumbe hujui magereza ww!Inabidi nimtafute lulu wangu leo baada ya kuachiwa tukapate chakula pamoja..najua atakua na hamuuuuu si ujua siku nyingi..ila nasikia anamimba???
usisahau helmet kama bodaboda
Akina Ruge na Shigongo washapata dili.
Watatulipisha viingilio kwenda kumuona Dar live na ziara za mikoani.
Alionewa kanumba alitolewa msukule bana!hastahili kupewa pole maana alishaua
Inabidi nimtafute lulu wangu leo baada ya kuachiwa tukapate chakula pamoja..najua atakua na hamuuuuu si ujua siku nyingi..ila nasikia anamimba???
Pamoja na kwamba dhamana ni haki ya kila raia kisheria,ni nani yupo nyuma ya kesi ya Lulu?.Ni watanzania wangapi wanakaa maabusu kwa muda mrefu bila kupata dhamana wala kesi zao kuanza kusikilizwa?,kwa kesi hii inaenda haraka kuna nini hapo?,Je haya si mambo yanayoamsha hasira kwa wananchi?
acheni kusema mbofumbofu juu ya Lulu baana! watu tumewekeza hapo mil. 20 zetu halafu mnasemasema mbooofu! au ndo 'sizitaki mbichi hizi' za sungura aliyeshindwa?!
Acha kumtukana marehemu humjui vizuri huyo unaemtetea, ukijua kua huyo binti ana rekodi hadi za kutembea na vizee venye vitambi utafanyaje.