hebu jiulize kama marehemu angekuwa hai ungekuta yeye ndo yupo ndani kwa kutembea na kajitoto ka miaka chini ya 18
Mbona walikua na mahusiano mda mrefu tu, na siyo yeye hata Ray kashakili kua kalishatembea nae. Ukitajiwa wengine waweza zimia wewe unaekaita katoto.