Lulu (Elizabeth Michael) kuachiwa kwa dhamana

Lulu (Elizabeth Michael) kuachiwa kwa dhamana

wamwachie bwana mzee kitumbo-tele a.k.a Mgeni mgeni mgeniii ..... afaidi
 
WAKULIMA WA NDIZI WANALIJUA HILI... MGOMBA WENYE NDIZI UKIINAMA SANA HUELEKEA KUDONDOKA HASA KAMA NDIZI NI KUBWA KULIKO UWEZO WA MTI WA MGOMBA.Kwa sababu hiyo lazima uwekewe nguzo ili kuusaport mpaka ndizi ikomae..sasa kashehshe kwa atakayetoa nguzo kabla ya NDIZI kukomaa, lazima aambiwe ndo mwangushaji wa ndizi.TUSIMHUKUMU LULU.TUANGALIE PANDE ZOTE .......
 
View attachment 81174

Habari zilizotufikia hivi punde
zinadai kuwa Mahakama kuu
ya Tanzania imemwachia kwa
dhamana msanii wa filamu
nchini Tanzania, Elizabeth
Michael aka Lulu aliyekuwa
mahabusu katika gereza la
Segerea jijini Dar es Salaam.
Wiki iliyopita mawakili wa
muigizaji huyo waliwasilisha
maombi ya dhamana kwa
mahakama hiyo kuu ya
Tanzania.
Wanasheria hao Peter Kibatala,
Kennedy Fungamtama na
Fulgence Massawe waliomba
dhamana hiyo itolewe haraka
kwakuwa muombaji amekaa
mahabusu kwa zaidi ya miezi
saba na kwamba kosa lake
linaweza kupewa dhamana.
Lulu anakabiliwa na kesi ya
kumuua bila kukusudia Steven
Kanumba April 7, 2012, huko
Sinza Vatican, jijini Dar es
Salaam.Kanumba alidaiwa
kuwa kwenye ugomvi na Lulu
aliyekuwa mpenzi wake
nyumbani kwake Sinza.
 
kangebaki huko ako kazinzi japo kanajidai katoto-huku kakibeba hata wenye vitambi. Ataendelea kuichafua jamii kwa uzinzi wake.
 
Habari hii (kwa leo) si sahihi..Mleta mada somasoma hapa ndani utajua kilichojiri.
 
Awe na adabu aache kubeba wazee tuliomzidi umri.Wengine tuna BP.
 
Mtoto malaya yule akitoka hata koma angebaki hukohuko maana wasanii wa bongo movie ni janga lingine kwa taifa na mzee wa fast jet asipokuwa makini watu wanaisha kwa ukimwi toka kwa hawa waigizaji. I hate them from ma heart
 
Acheni akuje kwa mtaa aendesha maisha yake na mama yake. Huo ndo uzalendo na hata hivyo anastahili kwenda nje ya gereza kwani maisha bado yanamsubiria kwa hamu.

Huo nao ni ukurasa mwingine wa maisha umeuonja, jizatiti na umgeukie Mungu wako maana yawezekana alikuwa anajaribu kukukumbusha kuwa pande ya pili ya maisha yako huwa ipo vipi...:shut-mouth:
 
Mungu amsaidie, kama hadi hapo hajajifunza basi huyo sio mtu tena. I think she's learnt her lesson japo hamna anaejua ukweli kuhusu kilichotokea yaweza kua hakumuua Kanumba, yeye peke yake na Mungu ndio wanaojua kilichotokea.
 
Njoo mtoto uswahilini kama kawa... akina wema wamechuja sn...
 
Kameshatoka kamalaya haka sijui kamekoma au kamejifunza mbinu zaidi ni mda wa mama wa lulu kumfundisha madili mwanae kama asipofanya hivyo basi jamii itaamini yaliyosemwa kuwa yeye mama wa lulu anaishi kwa kumuuza mwanae kumnadi ili kuendesha maisha yake tunataka kumwona mtoto huyu akiwa mwenye madili mema
 
Dah nasikitika helment zitapanda bei........ Bt mjomba shigongo anafurahi maana kashapata headline!
 
Back
Top Bottom