Kaazi kwelikweli..
Jamani kwanini tunatoa negative comments wakati wote?
Mi siachi kuwashangaa pia watu wanaoweka kigezo cha kuharibiwa na kufanya ngono kwamba ndiyo kukua,nawashangaa sana.. Wakati kila mmoja mwenye akili timamu anajua kigezo cha kukua ni umri wako ulioishi hapa duniani.
Jamani pia kuna watu wanaturudisha nyuma eti kauaje bila kukusudia,bila kuweka mawazo yao kwamba kwa nini wanadhani kaua kwa kukusudia..
Mwingine anahoji kesi kupelekwa haraka,wanasahau hiyo roho iliyopotea wakati wa mtafaruku wa kimapenzi,hata Rais wa nchi yetu alihudhuria msiba wake..