Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepewa dhamana leo kutokana na kesi inayomkabili ya kuua bila kukusudia
![]()
Inabidi nimtafute lulu wangu leo baada ya kuachiwa tukapate chakula pamoja..najua atakua na hamuuuuu si ujua siku nyingi..ila nasikia anamimba???
Mashalllaaah. Natamani ningekuwa Riz1, ningekuwa Mzee wa Nyasa au Ningekuwa Mzee wa Mizinga ya Nyuki kwa wakati mmoja ili nimfaidi huyu mtoto peke yangu. Ile dhana ya kizuri kula na mwenzio naona inatumika sana hapo
Posted- Jumatatu,Januari28- 2013- saa 12:34 PM
KWA UFUPI
Msanii wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) apata dhamana, wadhamini wawili watakiwa kuwa na Sh20m kila mmoja.
Kwa habari zaidi ungana na Mwananchi baadae.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa Mahakama kuu ya Tanzania imemwachia kwa dhamana msanii wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael aka Lulu aliyekuwa mahabusu katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam.
Acha kumtukana marehemu humjui vizuri huyo unaemtetea, ukijua kua huyo binti ana rekodi hadi za kutembea na vizee venye vitambi utafanyaje.