Lulu (Elizabeth Michael) kuachiwa kwa dhamana

Lulu (Elizabeth Michael) kuachiwa kwa dhamana

Amepewa dhamana leo kutokana na kesi inayomkabili ya kuua bila kukusudia




267737_145106902232939_100002008907798_288790_4129350_n+%25281%2529.JPG

Mashalllaaah. Natamani ningekuwa Riz1, ningekuwa Mzee wa Nyasa au Ningekuwa Mzee wa Mizinga ya Nyuki kwa wakati mmoja ili nimfaidi huyu mtoto peke yangu. Ile dhana ya kizuri kula na mwenzio naona inatumika sana hapo
 
kasema nani dunia ina haki,dunia haina haki,haki subilini kwa Mungu,siku zote jela watakaa wezi wa kuku,vijiko na uma,kama Yesu ndo Yesu pamoja na kuwa mwenye haki,lakini bado alionekana kuwa hana haki...sitaki kuongea sana..najua mabwege watatengeneza mkwanja kwa kuuza magazeti..mana siku zote wajinga ndo waliwao kichwa cha habari kikubwa..LULU NJE...kalagabao
 
Chezea mali za watu weye,,, kwisha stori sasa akaendeleze kamjengo kake alikoanzishiwa na wenyewe......adabu aloipata huko mahabusu itamsaidia kweli??
 
Bado ni mtoto mdogo huyu, ana nafasi ya kubadilika...Mungu amsaidie..
Tabia ya kuwapa vitu majitu mazima aache atulie tu kwanza kama ana akili atapata kijana mzuri tu atakae mfaa maishani....
..na habari ya Kanumba itakuwa nikama ndoto zuuri inayoonyesha maji ya mto yakitiririka kuelekea baharini kama yalivyo maisha ya mwanadamu kuelekea kaburini!
 
Mashalllaaah. Natamani ningekuwa Riz1, ningekuwa Mzee wa Nyasa au Ningekuwa Mzee wa Mizinga ya Nyuki kwa wakati mmoja ili nimfaidi huyu mtoto peke yangu. Ile dhana ya kizuri kula na mwenzio naona inatumika sana hapo

we kama unatamani huu uchafu njoo samaki samaki mlimani city uchukue wala sio kasumbufu. ilimradi uache vinywaji kwa akina Pachu wengine wengi. ATM CARD ndo inaongea. HAKA MBONA FASTA TU.
 
Je, huu ndo ukweli?
"Mahakama inaangalia Usahihi wa sentensi na siyo ukweli wa sentensi"?
Kila mmoja ana haki kisheria.
 
Atakuwa ameshajifunza kitu, natumai hatakuwa kama Lulu wa zamani, atahesJimi kila mtu, maisha yanakufundisha jinsi un:A S-baby:avyotaka.
 
ivi unatak akunambia miezi yote saba mle hajaDUU??just thinking lOud...
 
Mzee wa presha inapanda, presha inashuka, kafurahi kwi kwi kwi kwi
 
Kweli kuishi ni kujifunza. Like paka jimmy said, mpe miezi kadhaa atasahau yoote na kuanza kujiachia upyaa.
Pole zao yeye na familia, Mungu amuondolee sumaku ya matatizo.
 
Last edited by a moderator:
Mwache apewe dhamana nihaki yake coz,bado ushahidi haueleweki kuhusu kifo cha kanumba ya nn mtoto aendele kusota rumande,

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Karibu uraiani mwana!!! Tuna imani utatulia uwe wa mfano!!! Usipotulia sasa utabaki kufunzwa na ulimwengu!! Record yako kwa dunia hata kama utashinda kesi si nzuri!!! Ni Mungu pekee atakuwa kimbilio lako kwa kutubu yote na kuanza maisha ya maadili mapya kwa kuwa Mungu pekee husafisha dhambi hata kama ni nyekundu na kuwa nyeupe kama theluji. Achana na wazee wa mujini!!! Kumbuka na hela zao lakini kwa kesi criminal hasa za mauaji hazina cha kuhonga wala nini!!! Ihakikishie jamii kuwa wewe ni bora kuliko bora maisha!! All the Best Elizabeth Michael a.k.a Lulu!!!
 
Posted- Jumatatu,Januari28- 2013- saa 12:34 PM
KWA UFUPI

Msanii wa filamu Elizabeth Michael (Lulu) apata dhamana, wadhamini wawili watakiwa kuwa na Sh20m kila mmoja.
Kwa habari zaidi ungana na Mwananchi baadae.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kwa hiyo jumla ya hela zinazohitajika ni milioni 40?
 
Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa Mahakama kuu ya Tanzania imemwachia kwa dhamana msanii wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael aka Lulu aliyekuwa mahabusu katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam.

Duu asante Mungu nilikakumbuka sana mtaa haka ka-bint, hopefully simu na line yake wamemuachia yaaani!!!!!!
 
Acha kumtukana marehemu humjui vizuri huyo unaemtetea, ukijua kua huyo binti ana rekodi hadi za kutembea na vizee venye vitambi utafanyaje.

hebu jiulize kama marehemu angekuwa hai ungekuta yeye ndo yupo ndani kwa kutembea na kajitoto ka miaka chini ya 18
 
Back
Top Bottom