Tetesi: Lulu Michael arudi shule

Tetesi: Lulu Michael arudi shule

alisoma kweli TPSC....
alifanya diploma ya human resources alianzia cheti.... alisoma na dogo wa braza angu pale
Unaweza ukawa sahihi. Lakini kuna maandiko uwe unaenda nayo mstari kwa mstari na neno kwa neno. Laa sivyo, utaingia chaka la kenge mkuu.
 
Mimi kama lecturer wa pale ifm nitahakikisha lazima nimtie kupitia somo langu

Pole nyingi sana kwa bwana majizo

unafikiri kisa lecture unaweza mtia mtoto wa tajiri au mke wa tajiri.. kisa unamfundisha?

unaweza kumtia tu moyo wake ukupende aamue kukupa... ila sio kwa ushawishi wowote?

shigongo anasoma tumaini university mwaka wa kwanza.. chuo anakuja na range rover.. walimu wanapaki vi spacio.. yeye kajiajiri na walimu wameajiriwa.. wanajichekesha tu darasani kila dakika blaza shigongo hebu fafanua hii kwa uhalisia ili wanafunzi wenzako waelewe
 
Unadhan Lulu anatembea na Ma lecture , anatembea na elite ones 🤣🤣, pole endeleea kula chaki
 
unafikiri kisa lecture unaweza mtia mtoto wa tajiri au mke wa tajiri.. kisa unamfundisha?

unaweza kumtia tu moyo wake ukupende aamue kukupa... ila sio kwa ushawishi wowote?

shigongo anasoma tumaini university mwaka wa kwanza.. chuo anakuja na range rover.. walimu wanapaki vi spacio.. yeye kajiajiri na walimu wameajiriwa.. wanajichekesha tu darasani kila dakika blaza shigongo hebu fafanua hii kwa uhalisia ili wanafunzi wenzako waelewe

Nilisikia kuna mtihani alifanya ndo akafaulu kusomea degree, nilisikia mlimani kumbe tumaini, shigpngo alichoka matusi akaamua akasome tu , Ila safi sana , elimu haina mwisho
 
duuuh kumbe nae ni beauty with brain [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
unafikiri kisa lecture unaweza mtia mtoto wa tajiri au mke wa tajiri.. kisa unamfundisha?

unaweza kumtia tu moyo wake ukupende aamue kukupa... ila sio kwa ushawishi wowote?

shigongo anasoma tumaini university mwaka wa kwanza.. chuo anakuja na range rover.. walimu wanapaki vi spacio.. yeye kajiajiri na walimu wameajiriwa.. wanajichekesha tu darasani kila dakika blaza shigongo hebu fafanua hii kwa uhalisia ili wanafunzi wenzako waelewe
Anasema kozi gani mkuu?
 
Back
Top Bottom