Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Aseme MTU mwingine si yeye
anakumbuka shuka kumeshakucha.........
alivyyokuwa anahongwa na njemba la T.O.T hakujua haya
Ukiona hivyo ujue keshatimiza malengo yake au kasosa wahongaji
Ukiona hivyo ujue keshatimiza malengo yake au kasosa wahongaji
Dear nilikuepo toka looong tu Sema sikuwaga active. Lol
Wahongaji wamekosa kakumbuka kujishughulishaa
hahaa itakua hali ngum hakuna lolote...........
I do enjoy your presence....jukwaa linanoga