Lulu michael: Jamani wasichana tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa na matajiri

Lulu michael: Jamani wasichana tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa na matajiri

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amewaasa wasichana wenzake kujitahidi kujishugulisha na kazi mbalimbali kuingiza ‘chapaa’ na wasiendekeze kuhongwa fedha na mapedeshee kwani ni aibu.

Akistorisha na paparazi wetu pasipo kuweka wazi kama alishawahi kuhongwa au la, Lulu alitiririka:

“Jamani wasichana wote tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa fedha na matajiri kwani hizi zina mwisho wake, siku hizi mambo yote ni kujishughulisha.”
 
Kakosa wa kumuhonga sasa anajifariji kutoa nasaha.. atupishe hukooo. Mu-sir baby come this way let us go shopping

Heer kumbe ushapata tayari wa kukuhongaa si mchezoooo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom