Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Nakwambia anavyobadlisha magari akija hapa kibo!nasikia kuna mtoto wa wazir wa nishati na madini ndio kampangia nyumba nzima,
hivi hao watoto wa mawaziri wanawapataga wapi..........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambia anavyobadlisha magari akija hapa kibo!nasikia kuna mtoto wa wazir wa nishati na madini ndio kampangia nyumba nzima,
Did you buy her idea?
which idea my dear......
Yea Dear always sweet love.
Matajiri hela zinatuwasha, tumuhonge nani?
Yaani baada ya kuhongwa na wazee wote umri sawa na babu na baba yake leo hii anawatilia wenzie kauzibe?
Aisha mashauziii
niache nicheke mtoto wa mwanaume mwenzio
Aisha mashauziii
Kwa habari za uhakika kupitia rafiki yangu ambaye ni fundi fenicha hapa Tegeta,Lulu alijengewa nyumba huku na Riz Moko,jamaa aliupata huo ukweli baada ya kupewa dili la kutengeneza makabati kwenye huo mjengo mpya.Anasema Lulu anaishi kwa siri sana coz hata nyumba yenyewe iko ndani ndani,nyeti hizi alinipa kama miezi minne iliyopita so sijui kama bado wako pamoja au washavunja mkataba
Am right here my dear Heaven on Earth . Where have you been all day long?
I was busy the whole day sa hivi ndio nimepata kanafasi nimezama huku ndani
ushindwe wewe sasa kumhonga
![]()
hivi hao watoto wa mawaziri wanawapataga wapi..........