Lulu michael: Jamani wasichana tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa na matajiri

Lulu michael: Jamani wasichana tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa na matajiri

celebrities wa kike bongo si lolote, si chochote..

si muziki wala filamu, wengi wao wanaingiziwa vitu vingine vya ziada ili kupata pesa...

bongo hii, hakuna mwanamke celebrity anayesimama yeye kama yeye bila mguu wa tatu... kama wapo, basi wachache sana..
 
Yaani baada ya kuhongwa na wazee wote umri sawa na babu na baba yake leo hii anawatilia wenzie kauzibe?
 
Yea Dear always sweet love.

yaani nyie msipochetuana kweli sijui.....
afu punguzen mahaba yenu mana nambiwa kuna wagonjwa humu, wakisoma hayo maneno yenu tu wanapata kimuhemuhe sa msiwape taabu, mawaua kwa 'kiu'...
 
Matajiri hela zinatuwasha, tumuhonge nani?
 
Kwa habari za uhakika kupitia rafiki yangu ambaye ni fundi fenicha hapa Tegeta,Lulu alijengewa nyumba huku na Riz Moko,jamaa aliupata huo ukweli baada ya kupewa dili la kutengeneza makabati kwenye huo mjengo mpya.Anasema Lulu anaishi kwa siri sana coz hata nyumba yenyewe iko ndani ndani,nyeti hizi alinipa kama miezi minne iliyopita so sijui kama bado wako pamoja au washavunja mkataba
 
hhahaaaaaa asante mdau

hivi TATIANA uko wapi wewe
 
Last edited by a moderator:
weka picha nimuone huyo mtu

ushindwe wewe sasa kumhonga

Isha+dede.jpg
 
hivi hao watoto wa mawaziri wanawapataga wapi..........

Wanaposema bongo muvi zinalipa huwa unaelewaje kwani ?.........na hakuna cha maana wanachofanya kwenye hizo muvi zaidi ya kuvaa, kuendesha magari na make up.....
 
Back
Top Bottom