Lulu michael: Jamani wasichana tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa na matajiri

Nshapata mamii... ameshaanza Fanya mawasiliano na car dealers.. in a mean time amenipa lake nisipigwe jua. Chezea pedeshee Mu-sir wewe

Mama wambie am only Pedejee to you wasije kuibia..
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmm mbona wew kanumba alikuwa anakuhonga


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mmmmmmm MAPENZ MATAMU


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nasikia capt comber ame mto MBer mpaka coomer imeota sugu.
 
Ni jambo zuri ulilolitoa kwa upande wa wasichana wenzako ila nawe unapaswa kujitambua lulu wewe ni bado binti mdogo sana nimejaribu kufuatilia maisha yaki na nimetambua umrkuwa kiasi gani hivyo kutunza usichana wako ndo rasilimali ya kwanza ktk maisha ya msichana jifunze kupitia nyakati katika maisha pia pole kwa matatizo.
 
Ye mwenyewe mbona kapangishiwa nyumba nzima tegeta masaiti,na ukitaka kumuona nenda kibo pale tegeta utamuona coz anpenda kwenda mara kwa mara,

hahahaaaaaa Teamanaconda tushamshukia....kutaka kuonekana kioo cha jamii

kumbe ni wale wale kasoro majina
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…