Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Tatizo hawa wanawake nyakati zao zikipita ndo basi. Wakati niko shule ya msingi nilikuwa nikiona sura ya Odemba kwenye tangazo la lotion nilikuwa nasisimka... nyakati hizohizo akatokea Hoyce Temu ikawa balaa. Nikiwa sekondari O - level ndo ikawa enzi za kina Nora, Sinta, Fiderine Iranga na Kajala. Tamaa yangu ikawaka sana juu yao. A - level nilikuwa bize sana na ndo ilikua Mr Blue kaanza kuvuma. Nikiwa Chuo ndo wakaibuka kina Wema, Uwoya na Kidoti.... katika maisha yangu nilijiambia kama kumtafuna Uwoya itanipeleka motoni acha niende tu. Yule mwanamke kwenye enzi zake alinivuruga mno. Kidoti hajawahi kunivuruga sana kwa sababu ya ukosefu wa chura. Kwa huu wakati tuliopo tamaa yangu iliwaka kwa yule socialite Sanchoka ila siku nimemwona mama yake LIVE ikabidi nitengue tamaa zangu na kutafakari upya.... yule mama enzi za ujana wake nadhani wazee walipambana sana kumpata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hivi kuna Queen Masanja ex wa Dr Mwaka ni hatari yule mama mzuri mpaka kucha