Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Halooo!.... Movie nzima nimevutiwa na scene 2 tu...

Eti kwambaa!?...
Majizo anapakuliwa!
Lulu anasagwa na salama!

Kuhusu lulu kusagwa, ni haki yake yuko sahihi!... Kwasababu wanaume tumepungua sana sikuhizi!

Halafu salama(hizi ni zandani kabisa!) Ana dudu! (Dushelele, Shedede!) Ni Shemale!....

Hata madam rittah nae... Salama (anampakua!)...ni basha wake!
Salama aliwahi kuwa demu wa fid q .unataka sema fid q ni ????
 
Pesheni 😁😁 imeleta balaa sana Ila endelea kutupa nasaha kama hizi

Pamoja sana mkuu
Shukrani Mkuu.

Ndiyo maana ni busara, ukiwa Kijana fanya mambo yote umalize kuliko kuja kuyafanya Uzeeni.

Inakuwa aibu kunyooshewa vidole kwamba Mzee yule ni Mzee hovyo.
 
Inatia sana hasira japo watoto hawakukaa kidhembe japo kukosa kwao watoto nako ni tatizo kiasi mali lazma zihame kwenda familia zingine
Wajinga wale nao watu wazima wameshindwa hata kuzaa mtoto mmoja mmoja? Yule wa kike ndio basi tena.

Mzee wa watu kafa hajaona mjukuu!
 
Nakumbuka kwa macho yangu nilimshuhudia Salama...

Walitoka back stage na late Ngwair ....

Wakiwa wameongozana walikuja kwenye table niliyokuwepo....

ilikua Fiesta 2009 ilifanyika peninsula beach musoma... Kipindi Ile nilikua na visenti si haba .....

Nakumbuka walikuja kwenye tabe ya pamoja nikiwa muagizaji mkuu alikuwa hatumii kilevi ila tuligongana nae toilet....

kipindi naenda kulimwaga kojo nikiwa stimu, pembeni nina Wana(wapambe)....

Nikaingia ghafla kwenye toilet ya kike, na nikamshudia live akiwa anafunga zipi ya suruali...!

Aliniita chemba na kunisihi sana, nilichokiona nikihifadhi tu moyoni...

Ndio mara ya kwanza kumuona salama anatoa machozi!..

Nilimuhurumia mnoo!.... akanieleza kwa hisia za majonzi madhila anayopitia...

Ndio maana anaamua kuwa vile watu wanavyomuona...

Na Mimi nilikausha kiume tangu kipindi Ile hadi leo hii ndio nimefunguka kwenye hii post ...

Ili kukazia ukweli ninaoujua na nilioushuhudia kwa macho yangu mawili!.

Mkuu [emoji533]au 🤏[emoji2533]
 
Mkuu! Nimeogopa hadi nakosa la kusema!
Sina swali tena, Asante.
 
Aliyosema dada nimeshayasikia sana mabaa pale sinza .swala la lulu na salmaa walikuwa enzi zao ila kuendelea hilo sijalisikia .
Ila majay pia zipo sana ila wanadai yy na mkewe wamekubaliana kwamba hata jamaa akimkuta na demu hamind na lulu akimkuta na kidume hamind hata wanaclub yao arusha maneja analiwa na maji na huwa wanakaa meza moja wakija arusha .
Mtajiuliza sasa chuki na mtangazaji wa ar niaje ?ni kwamba jizo na tivu walikuwa in love kabisa .na hata kipindi katangaza kumuoa ni timbwili.
Stori ya ndani ya wasanii wote ni kwamba kulana kisamvu ni maagano ya umaarufu kuzimu.
Jay z
Eminem
Michael jackson
2pac
Hawa wote wamekuwa na tuhuma za kuliwa au kula mashoga
Wala ndogo wasanii si ali
Diamond huyu wanaenda mbali staki sema anawala wezie na analiwa .

Lakini kwa upande wa wasanii wanawake hakuna asietoa tako kuanzia wema .wolper.lina .etc sababu ukweli hawa wanapewa madau makubwa mtu atoe mil 3 na tiketi ya go and return mgodini mwanza unategemea asile jisho?
Tuache wasanii wadada hawa wajanja tunaolewa nao baa 70' per wanatoa ni kama kakuona wa kupita au una mdomo.
Sijataka wasimulia ya hawa vijana wanaotambia hela mjini ni makubwa na aibu.
 
Kama anahela aseme Vijana wampe connection.

Uzuri wake ukiwa na hela, anaweza kukufuata mahali ulipo.

Miaka miwili nyuma dau la Uwoya ilikuwa 1.5M sijui kwasasa, Japo mwanzoni mwa mwaka huu nilipanda naye ndege akitokea kumpelekea Tunda jamaa mmoja Mchimbaji wa Dhahabu sehemu fulani.
Sasa wewe kupanda nae ndege ulijuaje kama katoka kupeleka tunda kwa jamaa jamani? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom