Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Hiyo ni hekima Ila kwa wazee baadhi sidhani kama wanaeza kukuelewa.Hahahaha................nilijiwekea nadhiri zamani kabisa kwamba baada ya 50 mambo ya dogodogo nawaachia Vijana, nashukuru nilimudu hilo.
Dogodogo wengi ukiona anakukubali wewe Mzee ujue amelenga jambo fulani kwako.
Mambo ya kutawanya mali ulizochuma na mke wako wa ujana sio jambo lenye afya kwenye Uzee wako.
Huwa najisemea kama nilifanikiwa kulala na "Visu" vyote vile enzi za ujana wangu nitakuwa nimebakiza nini kwa kibinti kidogo cha umri wa Mjukuu wangu wa mwisho.
Huwa nakubali uwepo wako hapa jukwaani mkuu maana naamini ni age mate wa mzee wangu 🙏🏽