Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Kwa kweli Mkuu japo dogodogo hupendelea vile walivyo wanyumbulifu kwa bed

Ukishtuka pension yote imeishia kumjengea nyumba na ki-babe walker 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Na ndio hao wanawaua wazee wetu. Unakuta umri huo unaoa kabinti kadogo kazuri, watoto wako mwenyewe au wa majirani zako wanapita nako hadi unapandisha presha na kisukari. Unaanza mfuatilia kwenye simu na sehemu zote unazokwenda na bado ukishalamba mchanga. Unawaachia watoto makesi ya mali mahakamani na mama yao mpya

Asee hii situation isikie tu maana wazee Mkishanasa kwa majini kama uwoya, hamuambiliki wala hamsikii 😁😁
 
Ah, kabisa!

Watu tuna mambo. Laiti yangekua yanaonekana kwenye paji, ingekua balaa!
Hivi hizi issue za usagaji kwa bongo movies ni kweli??....

Nakumbuka miaka ile huo uvumi ulimkuta sana wolper, wema, lulu na salama. Na pia mama flani msanii wa band maarufu ya zamani ambaye alitoa wimbo miaka ya hivi karibuni na kassim mganga "star", alikuwa na shtuma za kuwa mratibu wa hizo issue kwa mastar
 
Back
Top Bottom