Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Do what makes you happy mkuu life is short!Kusoma kuona kuzisikia na kuzifanya 😄🤣
Ndiyo maana Sisi Wazee wengine tumeamua kuwa ndugu wasomaji na watazamaji tu kwasasa 🤗hamkawii kufia vifuani mnatakiwa kupambana na hali zenu wengi mnafos kurud ujanan
Jamaa mshamba yule muhaYes, kimyakimya mno ndio maana wakati Chibu anamtukana kwamba kamzidi kwa kuchakata tunaojua tulicheka sana.
Alikochakata Kiba miaka 5-6 ndio Chibu anachakata mida hii halafu anajiona mjanja!
Mfano Gigy, Kiba alishamaliza wakati ndio anaingia mjini, Chibu ndio anachakata saa hizi!
Hahaaaaohoo! hadi nimedinda afu nipi kwa ofisi
kumbe na huyu mwana yumo kwenye ile mambo🙄
kunywa sasaChai
Kwa kweli Mkuu, tumebaki kulea Wajukuu tu saiviKunguru muoga hukimbiza ubawa wake, bora unajua hilo.
Thats it 🔥Do what makes you happy mkuu life is short!
mhh! asee.acha nisikoment nilichotakaHahaaaa
Fanya unachopendaShukrani.
Sema tu jf where we dare to talk openly!mhh! asee.acha nisikoment nilichotaka
kumbe una ubuyu tangu siku nyingi afu hutaki kutuhabarishaView attachment 2844883View attachment 2844884Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi!
Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba ndio kuanguka na kufariki?
Chanzo ni simu kutoka kwa Ali Kiba kwenda kwa Lulu.
Lulu alienda kwa Kanumba waliyekuwa na miadi naye, na in fact yule (Kanumba) ndiye alikuwa mpenzi rasmi, huku Ali Kiba akila kisela kama kawaida, ila kwa mapenzi mazito!
Basi… ndipo Lulu kusikika akiongea kwa simu na mwanaume kimahaba, alipotakiwa kusema ni nani ndipo ukazuka ugomvi ulioliacha taifa na simanzi!
PENZI NI ZITO!
Jamani mnaambiwa hawa watu ni wanapendana kuliko mnavyoweza kufikiri! Yale mahaba ya Vee & Rotimi hayaoni ndani!
Na wanavyoyaendesha mapenzi yao wanajua wenyewe! Maana kila mmoja ni mkavu hadharani, mwanaume akatangulia kuoa, mwanamke nae akaolewa!
Ila wakutanapo moto huwaka! Nyasi huchanika!
Ni wanapendana hakuna mfano!
Najua mtajiuliza kama mimi nilivyojiuliza wakati nahakiki huu ubuyu, inawezekana vipi?
Yule Majizo ni mume rasmi tu wa hadhira, na huku Ali akiwa ameshatengana na mkewe Amina (japo talaka bado) hivi sasa akiwa na Babe Sherie, kote huko wanazuga tu.
Moyo wa Lulu uko kwa Ali Kiba, Ali nae Lulu ndio mwanamke wa maisha yake!
ACHANA NA SALAMA…
Ndio, Lulu huwa anasagana na Salama Jabir, Ece Jay… huyohuyo! Kwa kitambo tu.
Na huwa ni pale Lulu anapokuwa na mastress yake anayopewa na mumewe anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja zaidi na mtangazaji maarufu kutokea Arusha, huwa anaenda zake kwa Salama wanatoana cheche stress zake zikipoa anarudi kuendelea na ndoa yake!
ACHANA NA NDAMA MUTOTO YA NG’OMBE!
Si mnaonaga Lulu anavyotuchamba “Catch the flight not the feelings “?
Ndio hivyo, akishapewa stress zake huko na mumewe au akiwa na shida zake za hela (Majizo bakhili)anamtafuta mubaba wake, anampandia ndege Ndama anaenda kutulizwa na kuondoka na maokoto yake.
ALI KIBA NDIO ZAIDI
Achana na hao woooote! Hakuna aliyeweza kusuuza moyo wa Lulu kama Ali Kiba. Ali ndio kiboko ya wote, mwanaume wa maisha yake!
Wanapeana nini? Sitaki kusema zaidi, ila wote inasemekana ni mahodari wa mchezo mbaya, mchezo haramu uliokaripiwa kwa karipio kali katika vitabu vyote vya dini! Mchezo ulioangamiza kila kiumbe katika mji ulioshindikana kuishi kwa kiumbe chochote hadi hii leo!
Hayo ndio maisha ya mastaa na vimbwanga vyao!
Leo team kataa ndoa wataondoka na ushindi…
Wasalaam,
Nifah.
nakubali mange wetu wa jfKiboko kabisa!
Sina deni kwa mwaka huu wote!
Kwani hukuona mpaka mtu alifukuzwa kazi hadharani nchi ikishuhudia kwa kuambiwa anatoka na wake za watu japo ameonywa mara nyingi hasikii?Asante Mkuu, Nashukuru nilivuka salama ule mtego, japo kwa ku-struggle sana.
Unataka kusema miaka yenu Ujuzi umeongezeka?
Maana kuna Mstaafu mwenzangu alikutana na kibinti fulani wakati anafatilia Pension yake Hapo DSM, aliishia kumalizwa hela zote na yule binti.
Tulifanya kumchangia nauli ya kurudi Kijijini
yan sio siri halaf mnapendaga sana dogodogo size ya wajukuu zenu kama umeamua hivo hongera kwa uzima wa afya yako na pesa zakoNdiyo maana Sisi Wazee wengine tumeamua kuwa ndugu wasomaji na watazamaji tu kwasasa 🤗
Mkuu, kila mmoja ana ubora wake, nae ni bora kwa namna yake ya uandishi.Niffah we kiboko kumbe unajuwa kushusha ubuyu hv yaani cocastic haoni ndani kwa uandishi huu
Nakumbuka ile case, wastaafu tunapenda dogodogo japo hatuna nguvu za kimwili.Kwani hukuona mpaka mtu alifukuzwa kazi hadharani nchi ikishuhudia kwa kuambiwa anatoka na wake za watu japo ameonywa mara nyingi hasikii?
Nyie wastaafu kama bado mnayapenda maisha yenu endeleeni kucheza na wajukuu tu, huku kwetu sio salama kwa afya zenu.
Kwa kweli Mkuu japo dogodogo hupendelea vile walivyo wanyumbulifu kwa bedyan sio siri halaf mnapendaga sana dogodogo size ya wajukuu zenu kama umeamua hivo hongera kwa uzima wa afya yako na pesa zako