Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kabisa yaanPenzi kikohozi
Kabisa. Ila kiba hanaga mbwembwe kama domo kumbe aendelea kujilia kimya kimya doh!Wala hawagombwi, wao waendelee kupeana raha huku sisi tukila ubuyu.
Kwakweli wakati mwingine huwa namuonea huruma.Ila kwa skendo za mumewe lulu hawezi kuwa sawa kiakili..
Ni changamoto sana
Tone ya leo 🔥Leo umefurahiiiiiii 🤣🤣🤣
Ali Kiba hachagui, mpaka Gigy Money kapita naeAli nadhani ndiyo mambo yake hayo anakula kimya kimya ukimuangalia usoni so innocent
Halooo!.... Movie nzima nimevutiwa na scene 2 tu...Mkuu umenisoma kwa umakini lakini? Hizo pipo hakuna cha kuziachanisha!
Ni penzi la milele, yani mmoja wapo au wote wakiondoka duniani.
Niamini, wanapendana sana.
Duh eti Nifah kweli?Ali Kiba hachagui, mpaka Gigy Money kapita nae
Ukishastaafu Utumishi na kuanza kuishi kwa Pension kama Mimi lazima utumie hela zako ki-Ubahili fulani maana hazikawii kuisha hasa zile za Mkupuo.hauna hela mzee mwenye nazo haoni hasara kuzitumbua kwa kujaribu kurudi alipojia dunian
Hivi lulu ashalisemea hili la mumewe???Kwakweli wakati mwingine huwa namuonea huruma.
Bora kwa wanawake wenzio utasema kuna kuzidiana, ila wanaume wenzie hapana!
Japo binafsi sijawahi kuamini hilo mpaka leo.
Tunaoishi porinj tunakosa mengiHalooo!.... Movie nzima nimevutiwa na scene 2 tu...
Eti kwambaa!?...
Majizo anapakuliwa!
Lulu anasagwa na salama!
Kuhusu lulu kusagwa, ni haki yake yuko sahihi!... Kwasababu wanaume tumepungua sana sikuhizi!
Halafu salama(hizi ni zandani kabisa!) Ana dudu! (Dushelele, Shedede!) Ni Shemale!....
Hata madam rittah nae... Salama ni basha wake!
Kunguru muoga hukimbiza ubawa wake, bora unajua hilo.Kwa age hii ya 60+ niliyonayo siwezi,
Maana wajuzi wa mambo wanasema akiwa high huwa kila muda anataka tu ...... sasa sisi Wazee na hivi Visukari na Presha si tutakata moto katikati ya pambano 🤗
Kesho nahamia darKabisa!
Mbona sio siri? Gigy amesharopoka mara nyingi sana.
Na nikuongezee tu, alisema amepitiwa nao wote wawili Kiba na mdogo wake!
hamkawii kufia vifuani mnatakiwa kupambana na hali zenu wengi mnafos kurud ujananUkishastaafu Utumishi na kuanza kuishi kwa Pension kama Mimi lazima utumie hela zako ki-Ubahili fulani maana hazikawii kuisha hasa zile za Mkupuo.
Hata hivyo Umri umetutupa Mkono, kwahiyo ukipata Mwanamke wa kustarehe naye huwi kama ulivyokuwa Kijana maana nguvu zimeisha hivyo kuishia kumchezea kwa mikono na ukifanikiwa kupanda juu basi ka-Moja, napo ukimaliza hamu yote imekata hadi baada ya miezi mingine kupita 😜
Akili Kisoda huwezi elewa nilichosema.Unafanya nini kwenye huu uzi? Nenda jukwaa la siasa au ujenzi.