Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hivi kuna Queen Masanja ex wa Dr Mwaka ni hatari yule mama mzuri mpaka kucha
 
Hivi huwa uko serious kusema we ni mzee, hakika mi najuaga ni chai tu za humu unatuuzia!
 
Aaaah Mkuu kuwa serious kidogo, hilo dudu la yuyu umeliona kwa macho yako?
Nakumbuka kwa macho yangu nilimshuhudia Salama...

Walitoka back stage na late Ngwair ....

Wakiwa wameongozana walikuja kwenye table niliyokuwepo....

ilikua Fiesta 2009 ilifanyika peninsula beach musoma... Kipindi Ile nilikua na visenti si haba .....

Nakumbuka walikuja kwenye tabe ya pamoja nikiwa muagizaji mkuu alikuwa hatumii kilevi ila tuligongana nae toilet....

kipindi naenda kulimwaga kojo nikiwa stimu, pembeni nina Wana(wapambe)....

Nikaingia ghafla kwenye toilet ya kike, na nikamshudia live akiwa anafunga zipi ya suruali...!

Aliniita chemba na kunisihi sana, nilichokiona nikihifadhi tu moyoni...

Ndio mara ya kwanza kumuona salama anatoa machozi!..

Nilimuhurumia mnoo!.... akanieleza kwa hisia za majonzi madhila anayopitia...

Ndio maana anaamua kuwa vile watu wanavyomuona...

Na Mimi nilikausha kiume tangu kipindi Ile hadi leo hii ndio nimefunguka kwenye hii post ...

Ili kukazia ukweli ninaoujua na nilioushuhudia kwa macho yangu mawili!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…