Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

huu uzi wa leo ngumu kumeza ila si ulisema una vyanzo vya kuaminika....

watu watakuja kugombana hapa
Ni ngumu kumeza kweli, maana najuaga siku nyingi ila kama wiki 2/3 hivi zilizopita ndipo nilipata kuthibisha. Na muda wote nimekuwa nikitafakari niulete vipi…

Ila tuhuma za mapenzi ni kawaida sana kwa mastaa, wenyewe wameshazoea.
 
Nifah ktk Moja na mbili,sishangai ht Moja ukiiona tu Ile ndoa unajua pale ni mtihani majay anataka tu Mtu WA kulea WATOTO na lulu kuwakomesha mtaa Wa Saba...

Inshort majay Yuko kimkakati na Lulu Yuko kimkakati na wale wanaweza wasiachane Kwa kua Lulu ni smart woman,anajua anachotaka...!!!

Lulu Bado hayupo sawa ukimsoma tu mabandiko yake Mengi though anapretend happiness Kuna vingi anavikosa na anavitamani sema janga la jela Ndo limefanya atulie
Kuhusu kua na Ali Kiba sishangai Hata kidogooo Wala kusagana na salama nilidhani wameachana kumbe Bado wamo kaaah
 
Back
Top Bottom