Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Ndoa yao ina misukosuko sana ila kuachana ni vigumu maana kila mmoja ana pressure upande wake kama ulivyosema.

Lulu alitaka kutukomesha kuwa baada ya yote ila kaolewa, mumewe nae ndio kuonesha uungwana tena japo mwanamke katoka jela ila kamuoa.

Lulu hawezi kuachana na Salama hata, bado wanatoana cheche vizuri tu.
mijegeje yote iliyojaa dunian mwanamke mwenzangu ana utam gani? kuna watu kwaMungu watakua ndio petroli
 
ndio wazimu wa kuwa msanii na kutuwekea mambo public, kwa hiyo shigongo naye anavyoweka mambo ya watu magazetini tumfanyaje? kitu usichokijua watz umbea upo damuni, nashukuru nimejua ally kiba na lulu wanapasha viporo angalau nimepata umbea wa kumsimulia baba mwana wewe bakia na userious wako utazeeka
Kuna utafiti wambea tutaishi maisha marefu, watuache kwakweli.
 
wewe naye hujui mtu mbea husema ukweli ila shida ni moja tu hajapewa ruhusa ya kusema huo ukweli?? tatizo wewe ni wa kiume ungekua wa kike ungeelewa jinsi gani umbea unachoma choma kifua kuliko unavyotaka kwenda haja kubwa kinyesi kinavyokuchoma, hapo ukute moyo wake mwepesii muache atugee miubuyu sie hatufatilii app ya mange
Hamna lolote kujiendekeza tu!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kuna taarifa za chini chini nilizisoma humu nadhani alizileta marehemu warumi miaka 4 iliyopita, kuwa Lulu ni mtundu hasa eneo la 6x6.

Sijui nilitaka kusema nini.........ila anayemkula iwe rasmi ama kwa kuiba atakuwa anafaidi sana.

Wosia wangu kwa Vijana ukiwa mdau wa hayo mambo hakikisha umejiwekeza kabisa, yasije kukukuta mambo ya CK wa Wema Sepenga 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Yes, hata mimi nimewahi kusikia na kwa Ali pia nasikia sio haba. Huenda ndio maana hawaachani 😂😂
 
*Ndio, Lulu huwa anasagana na Salama Jabir, Ece Jay… huyohuyo! Kwa kitambo tu.
Na huwa ni pale Lulu anapokuwa na mastress yake anayopewa na mumewe anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja zaidi na mtangazaji maarufu kutokea Arusha, huwa anaenda zake kwa Salama wanatoana cheche stress zake zikipoa anarudi kuendelea na ndoa yake!*

👆 NGACHOKA shemeji! 👆
Pole Shemeji
 
Hahaha................hayo si ndiyo Mambo Vijana wanapenda, ukiwa na mtu wa hivyo huna hamu ya kuiba nje, maana muda wowote anakubadirishia gia inakuwa burudaaani kabisa 🙈🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Kweli Vijana wanafaidi 😜
Leo umechachukaaaaa 🤣🤣🤣
 
Kwa mambo yanayofanyika mjini Dar es Salaam hata hizi habari zinazoripotiwa hazijafika nusu ya kinachoendelea. Kuna mambo machafu mno yanafanywa na hawa mastaa njaa. Wakati fulani nikiwa mdhambi nilijua mambo mengi sana ya kishenzi yanayofanywa na mastaa. Media za Tanzania zinaripoti machache mno tena kwa kuchuja.
Halafu wanapata bahati wanaletewa hapa kwa uwazi sababu huku tunatumia ID fake wanaleta ujuaji!

Haya hata Mange hawezi kusema japo anajua sababu ya ushkaji wake na Ali Kiba.
 
Wenye mji wenu.

Ila kwa Lulu...... tokea zamani tu watu wanakibutua tokea akiwa Perfect Vision.

Ila hizi ndoa hizi watu wanachekeana kwenye Social Networks ila ndani kunafukuta.

Kiba mzee wa vitonga/kulelewa,Madam Rita kamlea wee mpaka alisahahu kazi yake ya mziki, so now yupo kwa Lulu kimya kimya.
Na ritha tena......mkuu hii mi kwangu ngumu kumesa bhana
 
Back
Top Bottom