Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #81
Toa utaahira wako hapa na wewe.
Yani mtu avunje ndoa sababu ya umbea tena wa kuandikwa mitandaoni? Nae atakuwa hana akili timamu kama wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa utaahira wako hapa na wewe.
HahaahaElizabeth Michael and two others ( Salama Jabir@ Ali Kiba) versus Nifah and Jamii Forums Media.
In the Resident Magistrate Court of Dar Es Salaam at Kisutu.
KIPINDI NIPO MITAA FLANI YA MIKOCHENI,,,LULU NA DEMU FLAN HV VIDEO VIXEN ANAITWA HUSNA WALIKUA WANANGU SANA.......ILA KUNA SIKU NIPO MITAA YA MAGOMENI KWA BIBI YAKE NA HUSNA,,,LULU AKAJA NAVIDEO VIXEN MMOJA ANAITWA WOLPER WAKAANZISHA BONGE LA VURUGU DHIDI YA HUSNA AFU BARABARANI KISA WANAMGOMBEA ALI KIBA🤣🤣🤣.View attachment 2844883View attachment 2844884Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi!
Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba ndio kuanguka na kufariki?
Chanzo ni simu kutoka kwa Ali Kiba kwenda kwa Lulu.
Lulu alienda kwa Kanumba waliyekuwa na miadi naye, na in fact yule (Kanumba) ndiye alikuwa mpenzi rasmi, huku Ali Kiba akila kisela kama kawaida, ila kwa mapenzi mazito!
Basi… ndipo Lulu kusikika akiongea kwa simu na mwanaume kimahaba, alipotakiwa kusema ni nani ndipo ukazuka ugomvi ulioliacha taifa na simanzi!
PENZI NI ZITO!
Jamani mnaambiwa hawa watu ni wanapendana kuliko mnavyoweza kufikiri! Yale mahaba ya Vee & Rotimi hayaoni ndani!
Na wanavyoyaendesha mapenzi yao wanajua wenyewe! Maana kila mmoja ni mkavu hadharani, mwanaume akatangulia kuoa, mwanamke nae akaolewa!
Ila wakutanapo moto huwaka! Nyasi huchanika!
Ni wanapendana hakuna mfano!
Najua mtajiuliza kama mimi nilivyojiuliza wakati nahakiki huu ubuyu, inawezekana vipi?
Yule Majizo ni mume rasmi tu wa hadhira, na huku Ali akiwa ameshatengana na mkewe Amina (japo talaka bado) hivi sasa akiwa na Babe Sherie, kote huko wanazuga tu.
Moyo wa Lulu uko kwa Ali Kiba, Ali nae Lulu ndio mwanamke wa maisha yake!
ACHANA NA SALAMA…
Ndio, Lulu huwa anasagana na Salama Jabir, Ece Jay… huyohuyo! Kwa kitambo tu.
Na huwa ni pale Lulu anapokuwa na mastress yake anayopewa na mumewe anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja zaidi na mtangazaji maarufu kutokea Arusha, huwa anaenda zake kwa Salama wanatoana cheche stress zake zikipoa anarudi kuendelea na ndoa yake!
ACHANA NA NDAMA MUTOTO YA NG’OMBE!
Si mnaonaga Lulu anavyotuchamba “Catch the flight not the feelings “?
Ndio hivyo, akishapewa stress zake huko na mumewe au akiwa na shida zake za hela (Majizo bakhili)anamtafuta mubaba wake, anampandia ndege Ndama anaenda kutulizwa na kuondoka na maokoto yake.
ALI KIBA NDIO ZAIDI
Achana na hao woooote! Hakuna aliyeweza kusuuza moyo wa Lulu kama Ali Kiba. Ali ndio kiboko ya wote, mwanaume wa maisha yake!
Wanapeana nini? Sitaki kusema zaidi, ila wote inasemekana ni mahodari wa mchezo mbaya, mchezo haramu uliokaripiwa kwa karipio kali katika vitabu vyote vya dini! Mchezo ulioangamiza kila kiumbe katika mji ulioshindikana kuishi kwa kiumbe chochote hadi hii leo!
Hayo ndio maisha ya mastaa na vimbwanga vyao!
Leo team kataa ndoa wataondoka na ushindi…
Wasalaam,
Nifah.
@Nifah vipi huyu mwamba anaesema una sura mbaya hapa, mmewahi kuonana?Nifah huna mme, huna hela, huna nguvu ya Mungu, umepewa roho mbaya na chuki, na sura mbaya na mdomo mchafu.
Fanya maisha yako, usijipe laana, dunia tunapita
Hakuna Mwanaume anacheat kwa Mwanamke fundi tena akiwa mdau wa hayo mambo, trust me 🤗Wanaume hawaeleweki wanataka Nini ujue..unaweza mpa vyote Bado akakuchiti tuu
Hahaha...................niko nawainjoi Vijana tu 😅Leo umechachukaaaaa 🤣🤣🤣
Mason ni nani sasaMason wabaya sana...
Halafu kanavyohangaikaga kwenye makanisa sasa
Kila nikijaribu kuizoom sura ya salama kwenye ubongo wangu, basi hii taarifa ya kwamba anasagana hua inagoma kabisa kuingia akilini[emoji849]Ndoa yao ina misukosuko sana ila kuachana ni vigumu maana kila mmoja ana pressure upande wake kama ulivyosema.
Lulu alitaka kutukomesha kuwa baada ya yote ila kaolewa, mumewe nae ndio kuonesha uungwana tena japo mwanamke katoka jela ila kamuoa.
Lulu hawezi kuachana na Salama hata, bado wanatoana cheche vizuri tu.
SawasawaHapana jamani! 🤣🤣🤣
Kwani mimi si mbea nguli siku zote? Nilipumzika tu.
Kwahiyo Mafundi wamekutana .......Yes, hata mimi nimewahi kusikia na kwa Ali pia nasikia sio haba. Huenda ndio maana hawaachani 😂😂
Why ? Mbona rahis sana.. mi nikivuta picha ya yeyre kupigwa mashine ndio naona ngumu haiji kabisa. Ushawah muona wap yule kakaa kike kike? Hata paja lake tu au tit ushawah liona kwenye picha tu japo???Kila nikijaribu kuizoom sura ya salama kwenye ubongo wangu, basi hii taarifa ya kwamba anasagana hua inagoma kabisa kuingia akilini[emoji849]
Uwoya kwa 700k naweza mmudu.Mfano sasa hivi ni nani kachuja ambaye unamuona kabisa unaweza kummudu?
Kwakweli sijawahi kuelewa! Mtu anafanana na mimi kila kitu atanivutia kwa kipi?mijegeje yote iliyojaa dunian mwanamke mwenzangu ana utam gani? kuna watu kwaMungu watakua ndio petroli