Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Tena wewe umeandika kistaarabu sana. Mambo yanayoendelea mjini yanatisha. Kuna dada mmoja maarufu sana ana swaga za motivational speaker hasa kwenye mambo ya kushika ujauzito kwa wanawake... yeye alipata ujauzito kwa njia ya kupandikiza mbegu... baada ya kuficha sana kwa muda mrefu baba wa mtoto imekuja kugundulika mbegu zilizotumika ni za kaka yake. Kimsingi mtoto ni wa kaka yake. Yaani balaa. Watu hawajashtuka ila tayari baadhi kwenye posts zake wameanza kuuliza mbona mtoto anafanana na kaka yako kiasi hiki?? Mambo ni mengi sana.
Lahaula !!!! Kweli waliosema Siku moja Dar itakumbwa na mafuriko hawakukosea ni suala la muda tu
 
KIPINDI NIPO MITAA FLANI YA MIKOCHENI,,,LULU NA DEMU FLAN HV VIDEO VIXEN ANAITWA HUSNA WALIKUA WANANGU SANA.......ILA KUNA SIKU NIPO MITAA YA MAGOMENI KWA BIBI YAKE NA HUSNA,,,LULU AKAJA NAVIDEO VIXEN MMOJA ANAITWA WOLPER WAKAANZISHA BONGE LA VURUGU DHIDI YA HUSNA AFU BARABARANI KISA WANAMGOMBEA ALI KIBA🤣🤣🤣.
Sasa watu pale barabarani wakajua ninagombaniwa mimi,,,ikabidi nikodi tax nikimbie maana watu walikua wanacheka na kunisifia mimi kidume 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
NB: Kipindi hicho lulu hakua
maarufu sana ila alikua hakatai skendo za kusagana na huyo demu wolper.....lilikua group wanasagana kwa zamu na walikua vibinti vidogo ila daily maisha club na club bilicanas.
Ndio maana nikasema niliyoandika sio mapya kwa watoto wa mjini/wambea.

Washamba tu ndio wanaleta kelele hapa.
 
Mmhh hatar hii weka mbal aisee.. kusagana yeye... kutatuliwa marinda yeye... umalaya yeye.. huyu mtu sasa ana pride gan kwenye maisha yake? Hiv hata akikaa kujaribu kujipima nafsin as how worthy is she anapata jibu gani? Kuna kip cha thaman alichonacho cha kujivunia utu wake sasa kwa hatua hiyo aliyo fikia????
Maana kama ni chemical reaction, yeye ana fall as irreversible one..

Poor girl.. she is a dead living. Nimemuonea huruma sana. Yan hana thaman hata ukimlinganisha na mwajuma ndala ndefu anayepambana na life yake ki bishi huku uswahili
Wala hakuna la ajabu analofanya binti wa watu, umaarufu tu unamponza!

Wapo wanaofanya zaidi yake tena wengi, ni vile tu hawafahamiki!
 
Back
Top Bottom