Na ndio nilitaka iwe hivyo, hata mwalimu wangu wa uandishi nimemwambia leo nitamshangaza.Mh! Sikufikiria kuwa wewe unaweza kuandika haya!.. but anyway Kilimanjaro si mlima tu ni kilevi pia!
Dunia Watu wafirana bila khayamumewe anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja zaidi na mtangazaji maarufu kutokea Arusha,
Mara hii umekuwa ni mmbea bila shaka mwalimu wako wa uandishi ameshaweka katoto kwenye tumbo lako la uzazi!Na ndio nilitaka iwe hivyo, hata mwalimu wangu wa uandishi nimemwambia leo nitamshangaza.
Sitaki kuzoeleka katika aina moja ya uandishi/habari.
Yep, I sure do.Know your place!
huu uzi wa leo ngumu kumeza ila si ulisema una vyanzo vya kuaminika....Hayo ni yako, mi sijasema chochote 🤣🤣🤣
Jamaa katoka Lukuledi jana, hajui maisha ya mjini.Usinitisheeeee, wale ni mastar na kusemwa ni kawaida.
Labda kama wewe ni mgeni wa jukwaa hili, yamewahi kusemwa makubwa zaidi ya hili.
Kwani nimesema wameua hadi niwe na kesi ya kujibu? Watanipatia wapi kwanza?
Hebu nipishe bwana.
Kwani umemaliza vibaya vyote Mkuu? Mbona kama hivyo vichache sana?Nifah huna mme, huna hela, huna nguvu ya Mungu, umepewa roho mbaya na chuki, na sura mbaya na mdomo mchafu.
Fanya maisha yako, usijipe laana, dunia tunapita
Ni ngumu kumeza kweli, maana najuaga siku nyingi ila kama wiki 2/3 hivi zilizopita ndipo nilipata kuthibisha. Na muda wote nimekuwa nikitafakari niulete vipi…huu uzi wa leo ngumu kumeza ila si ulisema una vyanzo vya kuaminika....
watu watakuja kugombana hapa
ndio mana nikasema sijaona shida yoyote. kwani kuna shida yoyote?Na wala sijasema kama kuna shida Mkuu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwani umemaliza vibaya vyote Mkuu? Mbona kama hivyo vichache sana?
Jitahidi ukumbuke vingine uviongeze…