Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Mtoto mdogo tako kubwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½
 
Nakataaaaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sister habarii uzidi kutupa aseeh maake insta yangu ilzngua....

Mm nitag tuvunje ndoa za watu vzr[emoji16][emoji16]


Oyaaah udaku nimeanza kitambo toka 2013 uko gazeti la ijumaa sjui risasii

We tupe vituz hasa habari za celebrities hulalii bila kujua
 
Mimi udaku upo ndani ya damu, usijali…
Mtaupata wa kutosha 🀣✌🏽
 
Mange anaongea mpk anakauka sauti

Mbn ndoa hazijavunjika sembuse humu ata watz hawajui jamii forum[emoji16]

Ukitupia tuu nitag monetary apo[emoji16][emoji16]
Acha tu kuongea, mpaka connection anaweka na hatujasikia ndoa kuvunjika 🀣🀣

Sisi tutaendelea kumung’unya ubuyu wetu kwa raha zetu.
Wasiotaka wasisome, simple!
 
Salama akiwa demu wako usiku ukimpapasa utaskia "ooy ooy taratibu babu""
Kipindi flan mwaka juzi nimeshamla mazi mmoja kama Salama ilikua Tanga Barabara ya 16. Manzi tom boy kinyama amenyoa halaf juu kaacha vile vi dread kama wasanii au bodaboda..Sema manzi alikua white balaa.. ni mweupe sana . anapiga pensi zake tshirt na raba kali alikua ana ofis moja pale maeneo ana chezesha kamali. So u tom boy plus wateja wake wahun wahun tu halaf hana shobo πŸ˜…. Yan kwakifupi ni ngum sana hata kuwaza kumwingia Sema ndio nikamlia raket zangu kama after 2 days upelelez wangu ukakamilika akajikuta ndani ya kuta 4 na muhuni mstaarabu mimi.
Baada ya show kali tunapiga stori nikamuuuliza oya mbona jiko linaonekana kama halitumiki hili kupika pika shida nini? Akacheka sana "akanambia inaonekana we muhuni sana kama umeligundua hilo..ujue mimi watu wengi sana wananichukulia kama mwanaume hiv kulingana na mtindo wangu wa maisha so ni kama wananiogopa flan kuniletea hizo habari, hata wewe nimekushangaa sana umewezaje, inaonekana we sio mwenyeji mkoa huu".
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na mwanangu mmoja nae alipata demu tom boy alijitahidi kumbadilisha sana had sahivi anavaa sketi japo mwanzo alikua kituko anavaa gauni kama kavaa kanzu
 
Acha tu kuongea, mpaka connection anaweka na hatujasikia ndoa kuvunjika [emoji1787][emoji1787]

Sisi tutaendelea kumung’unya ubuyu wetu kwa raha zetu.
Wasiotaka wasisome, simple!
watu wa humu wajuajii[emoji16]

Afu ulivoandika apa vingi vishasemwaga asa sijui kipnd hiko ilkuwa haijaonekana mpk wewe uje ulete mtafaruku

Endelea kutupa habari za kufungia mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…