Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Hii niliwahi skia mda sanaaaa...nkajua uongo na Ile ya katibu wa itikadi na mama Pau pia iliwahi tokea
 
Usinitisheeeee, wale ni mastar na kusemwa ni kawaida.
Labda kama wewe ni mgeni wa jukwaa hili, yamewahi kusemwa makubwa zaidi ya hili.

Kwani nimesema wameua hadi niwe na kesi ya kujibu? Watanipatia wapi kwanza?
Hebu nipishe bwana.
Tambua Mello kala teuzi.
 
Alafu unapata faida gani ukishapost hz taarifa ambazo nina hakika huna uthibitisho wowote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…