Kama wanapendana kwa nini Kiba asingemchukua Lulu baada ya kifo cha Kanumba?
Hadi wewe kupata hii habari ina maana Majizo ana habari, hivi kuna mwanaume bwege aangalie mkewe anaenda kuliwa anafurahia? maana hadi huyo Majizo kuoa hapo na kuacha wengine alimpenda Lulu.
Huyo mme wake na Lulu , Majizo kusikia habari anasagwa na Salama anapokeaje?
Kiufupi habari ambazo hazina uthibitisho ni uzushi kama uzushi mwingine, haingii akilini, huwezi vumilia mkeo anaenda kuingiliwa kinyume na maumbile kama unavyosema halafu uwe unaruhusu nyimbo za huyo msanii anayefanya hivyo zipigwe kwenye media zako tv na radio. Lazima kuna bifu kali ya kutafutana kwa mtutu ihusike, mapenzi yalishawatoa watu duniani.
Hizo story za umbea ni wale wadada changudoa wa mjini walioshindikana wakikutana Saloon za nywele, wanaanza umbea na uongo wakijifanya wanawajua sana watu maarufu hasa wasanii na kudai wametembea nao. Wengine waliokwenda hapo kusuka wanaondoka na maneno yalivyo.
Kuna ukweli kiasi lakini 70% ni uongo mtupu, ni kukosa kazi za kufanya.
Uongo mtupu.