Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Hakuna cha watoto wa mjini mkuu unless ni wateja wao

Ila kwa kiasi kikubwa Mastar wanadalaliwa na machawa wao au wanaume mashoga wanaozunguka nao 24/7

Pia hawa designers, ukiona star ana urafiki sana au anashonewa sana nguo kwa designer flani, bhasi hapo connection ipo

Wengine ni hawa "dada" Na "kaka" Zao wa mjini ambao wengi huwa na majina na connections za watu wakubwa. Unakuta hawana bond yoyote ya kibiashara na mastar Ila wanaiva sana, hapo connection ipo

Na wengine ni hawa photographers wao japo hawa hawana influence kwenye maisha yao Ila wana contacts za mastar karibia wote

Uzuri wa hizi groups zote zipo kwenye Instagram page zao kwa sababu huwa wanawatag na kama hawajapewa tag, bhasi lazma watu husika wacomment

Sifundishi mtu ununuzi wa sex Ila naongea uhalisia kwa sababu kupata access na mastar sio kitu kikubwa kama inavyoonekana 😁😁
Mkuu nikitaka kumpata mama sanchoka nafanyaje?
 
Sis wengine inawezekana tu tulizaliwa na neema za Mungu, haya yooote yanayowapeleka mbio hawa watu wooote tajwa humu mbona mimi sioni chochote cha maana hapo. Yan sion hata mtu wa maana sanaa wa kuniumiza kichwa, how come people spend alot of money just for fu*ck's sake????..
Am soo different
 
View attachment 2844883View attachment 2844884Yes, ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Ali Saleh Kiba ‘Ali Kiba’ mapenzini, enzi na enzi!

Mnakumbuka wakati msiba wa Kanumba unatokea kulisemekana kutokea ugomvi uliopelekea Lulu kumsukuma Kanumba ndio kuanguka na kufariki?
Chanzo ni simu kutoka kwa Ali Kiba kwenda kwa Lulu.

Lulu alienda kwa Kanumba waliyekuwa na miadi naye, na in fact yule (Kanumba) ndiye alikuwa mpenzi rasmi, huku Ali Kiba akila kisela kama kawaida, ila kwa mapenzi mazito!

Basi… ndipo Lulu kusikika akiongea kwa simu na mwanaume kimahaba, alipotakiwa kusema ni nani ndipo ukazuka ugomvi ulioliacha taifa na simanzi!

PENZI NI ZITO!
Jamani mnaambiwa hawa watu ni wanapendana kuliko mnavyoweza kufikiri! Yale mahaba ya Vee & Rotimi hayaoni ndani!

Na wanavyoyaendesha mapenzi yao wanajua wenyewe! Maana kila mmoja ni mkavu hadharani, mwanaume akatangulia kuoa, mwanamke nae akaolewa!
Ila wakutanapo moto huwaka! Nyasi huchanika!
Ni wanapendana hakuna mfano!

Najua mtajiuliza kama mimi nilivyojiuliza wakati nahakiki huu ubuyu, inawezekana vipi?
Yule Majizo ni mume rasmi tu wa hadhira, na huku Ali akiwa ameshatengana na mkewe Amina (japo talaka bado) hivi sasa akiwa na Babe Sherie, kote huko wanazuga tu.
Moyo wa Lulu uko kwa Ali Kiba, Ali nae Lulu ndio mwanamke wa maisha yake!

ACHANA NA SALAMA…
Ndio, Lulu huwa anasagana na Salama Jabir, Ece Jay… huyohuyo! Kwa kitambo tu.
Na huwa ni pale Lulu anapokuwa na mastress yake anayopewa na mumewe anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja zaidi na mtangazaji maarufu kutokea Arusha, huwa anaenda zake kwa Salama wanatoana cheche stress zake zikipoa anarudi kuendelea na ndoa yake!

ACHANA NA NDAMA MUTOTO YA NG’OMBE!
Si mnaonaga Lulu anavyotuchamba “Catch the flight not the feelings “?
Ndio hivyo, akishapewa stress zake huko na mumewe au akiwa na shida zake za hela (Majizo bakhili)anamtafuta mubaba wake, anampandia ndege Ndama anaenda kutulizwa na kuondoka na maokoto yake.

ALI KIBA NDIO ZAIDI!
Achana na hao woooote! Hakuna aliyeweza kusuuza moyo wa Lulu kama Ali Kiba. Ali ndio kiboko ya wote, mwanaume wa maisha yake!

Wanapeana nini? Sitaki kusema zaidi, ila wote inasemekana ni mahodari wa mchezo mbaya, mchezo haramu uliokaripiwa kwa karipio kali katika vitabu vyote vya dini! Mchezo ulioangamiza kila kiumbe katika mji ulioshindikana kuishi kwa kiumbe chochote hadi hii leo!

Hayo ndio maisha ya mastaa na vimbwanga vyao!
Leo team kataa ndoa wataondoka na ushindi…

Wasalaam,

Nifah.
Mmmhhhh!!!!! Hatari na nusu
 
Si wewe ulisema hapa kuna mdau alijiapiza lazima ampate Zuchu?
🤣
Inawezekana ndio huyohuyo.

Hiyo inbox jamaa anasema anataka kuonana nae kwa 10minutes tu 🤣🤣🤣.

Yuko tayari kulipia gharama za "kuonana".


Zingatia neno kuonana 🤣🤣

Hiyo namba ya jina linakuja Nabil Abdallah 🤣🤣
 
🤣
Inawezekana ndio huyohuyo.

Hiyo inbox jamaa anasema anataka kuonana nae kwa 10minutes tu 🤣🤣🤣.

Yuko tayari kulipia gharama za "kuonana".


Zingatia neno kuonana 🤣🤣

Hiyo namba ya jina linakuja Nabil Abdallah 🤣🤣
Sasa Zuchu nae ana nini cha kupapatikiwa hivyo? Labda umaarufu tu ila hana kitu bora hata Tanasha.

Ila Diamond nae mswahili sana, suala kama hilo si la kulimaliza kimyakimya jamani? Hayo ni mambo ya wanawake kuchambana hadharani na wanaotaka kukuibia bwana sio wanaume.
 
Sasa Zuchu nae ana nini cha kupapatikiwa hivyo? Labda umaarufu tu ila hana kitu bora hata Tanasha.

Ila Diamond nae mswahili sana, suala kama hilo si la kulimaliza kimyakimya jamani? Hayo ni mambo ya wanawake kuchambana hadharani na wanaotaka kukuibia bwana sio wanaume.
Huyo jamaa utakuta ana fantasy ya kumla zuchu 🤣. Ndio maana yupo tayari kulipia gharama za "kuonana"

Hiyo namba sasa hivi mabinti wanaisumbua mno🤣🤣🤣.

Wanasema huyo jamaa ametumia hela nyingi kupata namba ya zuchu 🤣🤣 jamaa anao ujasiri wa hali ya juu na hela.


Ila Diamond alivyopanick mpaka kupost nimecheka sana 🤣🤣🤣
 
Huyo jamaa utakuta ana fantasy ya kumla zuchu 🤣. Ndio maana yupo tayari kulipia gharama za "kuonana"

Hiyo namba sasa hivi mabinti wanaisumbua mno🤣🤣🤣.

Wanasema huyo jamaa ametumia hela nyingi kupata namba ya zuchu 🤣🤣 jamaa anao ujasiri wa hali ya juu na hela.


Ila Diamond alivyopanick mpaka kupost nimecheka sana 🤣🤣🤣
Lazima asumbuliwe, 10M mchezo?

Diamond ndio huwa nashindwa tu hapo kumkubali, ana ujinga mwingi mno!
 
Nimeona huko Instagram diamond kapost namba ya mtu ya inayoishia na 7777, huyo jamaa kaweka dau la 10m "kuonana" na zuchu. Diamond kashapanick mpaka anapost mtandaoni. Au ni mzee Grahams umeweka dau la 10M umle zuchu? 🤣🤣
Yule atakuja kuniua Babu yenu, maana kwa vile viuno akivileta kitandani si kisukari na presha vitanipanda Mzee wenu 😜🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom