kwa ufupi bila mabuzi mjini hakukaliki kwa hawa wasanii wenu. muone shoga yangu wema alivyokuwa mpole, no more show off za kutapanya hela toka buzi clement likate kamba
Umeonaaa eee Wema kimyaaaaa,kwanini asisemwe Wema au wengineer,,sasa tunawaita wakopaji maarufu. Over
kwa status kubwa gani walizokua nazo Tanzania la za kuuza papuchà.mbona unashangaza hivyo.wanuka mikojo hawa hebu acha kuwapandisha kijinga
Nawewe uliyeuliza umesemwa wewe au ni kiherehere cha kwapa??
Heheheeee....
Mazingira ya kupata kitu kitakachokulindia heshma na utu ni bora sana.. mtangaza mdeni wake hastahil kuingia kwny soko huru la biashara za leo
wolper anaongoza kukopa nshaskia sehemu flani hv dukani
nlichekaaa...!!!
Binamu nimerud
Binamu nimerud
karibu bnamu kuna thread yako ya kukumis
Ipi hiyo mbona sijaiona?
Hata mengi anadaiwa nmb sembuse wao?kopeni wadada.
Binamu nimerud
Ipi hiyo mbona sijaiona?
Ipi hiyo mbona sijaiona?
Hata mengi anadaiwa nmb sembuse wao?kopeni wadada.
pole na ban mengine uwe unapotezea tu