Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
kwa ufupi bila mabuzi mjini hakukaliki kwa hawa wasanii wenu. muone shoga yangu wema alivyokuwa mpole, no more show off za kutapanya hela toka buzi clement likate kamba
Umeonaaa eee Wema kimyaaaaa,kwanini asisemwe Wema au wengineer,,sasa tunawaita wakopaji maarufu. Over