Lulu na Wolper ni wakopaji maarufu

Lulu na Wolper ni wakopaji maarufu

kwa ufupi bila mabuzi mjini hakukaliki kwa hawa wasanii wenu. muone shoga yangu wema alivyokuwa mpole, no more show off za kutapanya hela toka buzi clement likate kamba

Umeonaaa eee Wema kimyaaaaa,kwanini asisemwe Wema au wengineer,,sasa tunawaita wakopaji maarufu. Over
 
kwa status kubwa gani walizokua nazo Tanzania la za kuuza papuchà.mbona unashangaza hivyo.wanuka mikojo hawa hebu acha kuwapandisha kijinga

hawana lolote milupo tu wale!
wanazeekea pombe na kuhongwa hongwa hovyo!!
wanapenda fake life!!!
muache kukopaaaaaaa.....!!!!!
wenyewe hawatakiiiii...!!!
kantangazeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
team mikopooooooo!!!!
 
Mazingira ya kupata kitu kitakachokulindia heshma na utu ni bora sana.. mtangaza mdeni wake hastahil kuingia kwny soko huru la biashara za leo
 
Mazingira ya kupata kitu kitakachokulindia heshma na utu ni bora sana.. mtangaza mdeni wake hastahil kuingia kwny soko huru la biashara za leo

wanawachoka ndo maana na wakikopa kulipa mang'ana
afu wakihojiwa wanajifanya wamenunua nje ya nchi
 
Hata mengi anadaiwa nmb sembuse wao?kopeni wadada.
 
Back
Top Bottom