Lulu ni staa asiyejua matumizi ya deodorant

Lulu ni staa asiyejua matumizi ya deodorant

Daaah mazee mambo mengine tuwaachie wenyewe. Siokila kitu ni cha kupost, inawezekena umeikuta hii kitu insta, fb n.k ukadhani ukileta huku itakua bien kumbe huku kwa ma great thinkers unaonekana ni low level of literacy, mbaya zaidi ni mtoto wa kiume. Sio kali zake chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijisifu kwa kuzuia uchafu kukutoka mwilini madhara utayapata makubwa!
Makwapa si sehemu pekee ya mwili kutoa jasho. The skin is the largest organ of the human body na yote ina sweat pores, sehemu ya kwapa ni ndogo sana kuleta hayo madhara makubwa unayozungumzia.
 
9b870eb3228761d7ea0234118faaa93a.jpg
15a9c15483fa042b7017ee6ea40e3a38.jpg


Inakuwaje staa kama Lulu anakubali kuweka ramani ya jasho kwenye kikwapa? Inamaana hajui matumizi ya deodorant wajuzi wamsaidie?
Ngoja tukusaidie.aina ya kitambaa ya nguo inaweza kusababisha Hilo.na deodorant ni ya kuondoa harufu mbaya ya jasho.jina lenyewe linajieleza.kama vp tukupe namba za Ras Simba tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka jasho ni njia mojawapo ambayo Mungu ameiweka ili mwili uwe unatoa sumu mwilini na kuweka mifumo ya mwili sawasawa! Sasa kwanini upake makemikali ya kuzuia jasho isitoke? Je unajua kufanya hivyo Kwa muda muda mrefu huwa kuna madhara? Tafakali na uchukue hatua! Njia nzuri ya kufanya ili kuepuka jasho lenye harufu ni kuoga vizuri, kupaka sabuni na kujisugua vizuri makwapani na kuhakikisha unasugua makwapani Kwa povu la sabuni na kujisuuza kisha paka tena sabuni sugua na kujisuuza nakwambia Hata jasho itoke vipi haitakuwa na harufu ya ajabu! Hata mapafyumu siyo mazuri ni kemikali zile, Hata manukato ya kuweka Kwenye Magari na spray za bafuni na Ofisini zote hazifai Kwa wenye uelewa na wenye kujali! Yani nikaanza kijadili kiundani wengi watanishangaa na kuniuliza Kwa hiyo inakuwaje [emoji87][emoji87][emoji87] kila Mtu afanye anavyoona ni vyema!
 
Makwapa si sehemu pekee ya mwili kutoa jasho. The skin is the largest organ of the human body na yote ina sweat pores, sehemu ya kwapa ni ndogo sana kuleta hayo madhara makubwa unayozungumzia.
But kwenye kwapa ni mahususi kwa kazi hiyo maalum kabisa na mujarabu
 
9b870eb3228761d7ea0234118faaa93a.jpg
15a9c15483fa042b7017ee6ea40e3a38.jpg


Inakuwaje staa kama Lulu anakubali kuweka ramani ya jasho kwenye kikwapa? Inamaana hajui matumizi ya deodorant wajuzi wamsaidie?
Hii haina uhusiano na kutokujua kutumia deodorant kabisa maana haina uwezo wa kuzuia kulowa kwa nguo..
Hii mara nyingi huchangiwa na kutofanya usafi sehemu za makwapa na kuacha nywele na ukitoka jasho linabebwa na nywele hizo na kulowesha nguo..
Asilimia 80% ya watu wanaolowa makwapa wanakuwa hawajanyoa nywele za makwapa!
Kwa hiyo Lulu hapo alikuwa hajanyoa nywele za makwapa...
 
But kwenye kwapa ni mahususi kwa kazi hiyo maalum kabisa na mujarabu
Haya mkuu, ndio maisha wengine tunapaka deodorant na kuzuwia jasho, wengine wanavuta sigara na kuuathiri mapafu, wengine wanakunywa pombe na kuathiri ini na mafigo, wengine wanakula na kunenepa ovyo na kuathiri moyo, wengine ngono zembe.....c'est la vie!
 
Wachafuzi washamchafua lulu mama wee,... Nakumbuka miaka ya 2008 uyu demu alichafuliwa mbaya na picha za utupu aseeehh
 
Back
Top Bottom