spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,393
- 1,905
Unazuwia kwa sehemu hiyo tu husika bado sehemu nyengine za mwili jasho litatoka kama kawaida na unapakaa kwa muda maalum. Kila jambo kwa kiasi.Sasa we kuzuia jasho huoni tatizo tayari hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazuwia kwa sehemu hiyo tu husika bado sehemu nyengine za mwili jasho litatoka kama kawaida na unapakaa kwa muda maalum. Kila jambo kwa kiasi.Sasa we kuzuia jasho huoni tatizo tayari hapo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Deodorant inaondoa jasho au harufu ya jasho?
Sijui unayotumia wewe, ila ninazo tumia mm ni anti- perspirant mkuu, yaani zinazuwia jasho.
Usijisifu kwa kuzuia uchafu kukutoka mwilini madhara utayapata makubwa!Sijui unayotumia wewe, ila ninazo tumia mm ni anti- perspirant mkuu, yaani zinazuwia jasho.
Makwapa si sehemu pekee ya mwili kutoa jasho. The skin is the largest organ of the human body na yote ina sweat pores, sehemu ya kwapa ni ndogo sana kuleta hayo madhara makubwa unayozungumzia.Usijisifu kwa kuzuia uchafu kukutoka mwilini madhara utayapata makubwa!
Ngoja tukusaidie.aina ya kitambaa ya nguo inaweza kusababisha Hilo.na deodorant ni ya kuondoa harufu mbaya ya jasho.jina lenyewe linajieleza.kama vp tukupe namba za Ras Simba tu.![]()
![]()
Inakuwaje staa kama Lulu anakubali kuweka ramani ya jasho kwenye kikwapa? Inamaana hajui matumizi ya deodorant wajuzi wamsaidie?
Sijui unayotumia wewe, ila ninazo tumia mm ni anti- perspirant mkuu, yaani zinazuwia jasho.
Deodorant inaondoa jasho au harufu ya jasho?
But kwenye kwapa ni mahususi kwa kazi hiyo maalum kabisa na mujarabuMakwapa si sehemu pekee ya mwili kutoa jasho. The skin is the largest organ of the human body na yote ina sweat pores, sehemu ya kwapa ni ndogo sana kuleta hayo madhara makubwa unayozungumzia.
mleta mada hujuwi matumizi ya deodorant.![]()
![]()
Inakuwaje staa kama Lulu anakubali kuweka ramani ya jasho kwenye kikwapa? Inamaana hajui matumizi ya deodorant wajuzi wamsaidie?
Hii haina uhusiano na kutokujua kutumia deodorant kabisa maana haina uwezo wa kuzuia kulowa kwa nguo..![]()
![]()
Inakuwaje staa kama Lulu anakubali kuweka ramani ya jasho kwenye kikwapa? Inamaana hajui matumizi ya deodorant wajuzi wamsaidie?
Haya mkuu, ndio maisha wengine tunapaka deodorant na kuzuwia jasho, wengine wanavuta sigara na kuuathiri mapafu, wengine wanakunywa pombe na kuathiri ini na mafigo, wengine wanakula na kunenepa ovyo na kuathiri moyo, wengine ngono zembe.....c'est la vie!But kwenye kwapa ni mahususi kwa kazi hiyo maalum kabisa na mujarabu