Kokoto vs mauji? kweli amani ya tanzania inatoka kwa Mungu muumba sio sera ya watawala
mBONA DPP Anacheza ngoma sio yake? au maagizo tuPonda anafungwa kwa nguvu ya fedha za Yussuf Manji na nguvu ya udhalim aliouacha Nyerere wa BAKWATA.
Lulu ni kifo cha mpenzi.
Ukifuatilia mlolöngo ya maelezo ya mdogo wake kanumba utaona kuwa Lulu hakukusudia. Ukiwa na itkadi ya kidini uwezi fikiri vizuri, fikiria bei ya nondo zilizoibiwa na uchochezi uliosababisha makanisa kuchomwa
Chunga sana ndugu siku zote BUSARA haipindui SHERIA, hakuna kitu kinaitwa nia NJEMA ili kuvunja sheria, wacha haki ifuate mkondo wake kama ambavyo magerezani wamejaa ndugu na jamaa zetu wasiokuwa na majina ya kubadilishiwa mashtaka au kesi zao kupelekwa kwa speed ya Jet.Double standard ni msingi wa uvunjifu wa amani.
kwahiyo mtoto alimuua mtoto mwenzake au siyo? Acha kutetea zinaa wewe!
Suji kuna mantiki gani mtu anaetuhumiwa kwa mauji ya kukusudiwa ELIZABETH MICHAEL 'LULU' leo anabadilishiwa kesi na kuambiwa kaua bila ya kukusudia Huku sheikh Ponda mwenye kesi ya kuiba kokoto Kinatengenezwa kikabali ili asitoke ndani
HALAFU WANASIASA NA VIONGOZI WA KITAIFA WANATAKA WANANCHI TUSIJIGAWE KWA MISINGI YA UDINI. UDINI GANI WANAOUZUIA HUKU WATENDAJI WAKE WAKIONAKANA KUUMBATIA UDINI MAOFISINI? MWANANCHI GANI ATASIKILIZA NYIMBO YENU WAKATI WENYEWE HAMUICHEZI?
Ponda akifungwa pingu. Lulu akidunda bila ya Pingu na sasa mambo yake poa
Hapo uwezekano wa kuhukumiwa kunyongwa ulikuwa umeshaondoka katika future yake kuhusiana na kesi hii kwa sababu amebadilishiwa mashitaka ya murder.Ilipoandikwa habari.
Hapo uwezekano wa kuhukumiwa kunyongwa ulikuwa umeshaondoka katika future yake kuhusiana na kesi hii kwa sababu amebadilishiwa mashitaka ya murder.
Mimi sio mwanasheria ila naamini kwamba, kazi ya sheria ni kusimamia haki. Hivyo basi katika jamii kama ya kwetu ambapo haki haitolewi kwa haki bali kwa wenye nacho na wasionacho hata haki yao hunyang'anywa, Sheria ni takataka zilizopangwa na kuwekwa kwa heshima. Sheria gani unazoongelea hapa bongo wakati kuna mwanasheria kathibitisha pasi shaka kuwa kuna wanasheria ambao wanasimamia sheria lakini hawana sifa za kusimamia sheria lakini mpaka leo hii wanasimamia sheria?
Natamani sana BUSARA ipindue sheria katika nchi hii. Tumefika hapa tulipo kwasababu tuna wanasheria wengi na wenye busara wachache.
hii nilijuaga siku nyingi sana!!atapigishwa faini tu au miaka michache jela then atatoka kwa msamaha wa rais!2015 haifiki
naombeni picha ya lulu nimkumbuke kidogo.
Pole Lulu.