Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
geniveros balaf wa moyo yupo huku jamaniii
Ila kama hulipendi ntakuita CAVIAR manake nayo ni noumaaaaa
Manake ninii
Mayai ya samaki yaliyohifadhiwa kwa chumvi,yanatoka kwa samaki flan hivi wanaitwa beluga sturgeon its price range from 1000Usd mpaka 10,000Usd for most expensive!
Mmh si ukubal tu unajishaua nn
Mayai ya samaki yaliyohifadhiwa kwa chumvi,yanatoka kwa samaki flan hivi wanaitwa beluga sturgeon its price range from 1000Usd mpaka 10,000Usd for most expensive!
Hutak binamu tukajipige ma selfies kwa obama tuje kuuza sura humu kama mama ubaya??
Tutawapata wapi kina Rihanna? ? Hhhhhha na Nelly
Rahisi zaidi kama ukiweza kuvumilia kidogo nifanye juu chini nipate VIP ticket za BET Awards/BET hiphop award mbona hata Beyonce utasalimiana naye LIVE ntatafuta DIAMOND ambayo inauzwa kwa kawaida kama 4,350USD coz GOLD inayouzwa 1,095USD watoto pori wa US wanakuwa wengi sana eneo lake!
Mi hata hao nna shida nao basiiii
Tatizo kipenzi unapenda mno Utanzaniaz!