Luludiva: Nina miaka 19, nitaolewa nikifikisha miaka 25

Sura haidanganyi. Ukisema alikosea kutamka badala ya 3 akaweka 1 hapo nitakubali. Lakini useme ni miaka 19 tangu azaliwe !! NEVER !!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watanzania tuna safari ndefu sana.So huyo caucasioan kwa vile mweupe amejaa ni binti.?
 
Labda kamaanisha miaka 19 akiwa ndani ya fani ya mziki, ambayo aliianza kuimba akiwa na miaka 18, so ukijumlisha hapo utapata jibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani watu wanabisha utadhani wao ndio wamemzaa, si mwenyewe kasema jamani
Kuna wacheza mpira wengi wanajipa umri mdogo pia lakini sijawahi kuona wakikashifiwa na kutukanwa namna hii.
 
Hivi form 4 ndo kamaliza mwaka juzi au hakufikia elimu ya secondary kabisa?
Na ukumbuke alikuwa house girl wa Ferooz enzi zile za "ninao ninao" featuring Prof J, sasa sijui hapo alikuwa amemaliza kidato gani kabla ya kuanza u-house maid miaka kumi na kadhaa iliyopita. The numbers aren't adding up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…