ZEE LA HEKIMA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,420
- 1,842
Sura haidanganyi. Ukisema alikosea kutamka badala ya 3 akaweka 1 hapo nitakubali. Lakini useme ni miaka 19 tangu azaliwe !! NEVER !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naaminiKuna kitu kinaitwa uhalisia.... Ndio maana kuna verification mbalimbali...
Jaguar kayavutavuta sanaHilo ziwa ni la 19 years old? [emoji119][emoji119][emoji119] na hiyo sura je? Basi watoto siku hizi wanazeeka kabla hawajakuaView attachment 1197781
Labda kamaanisha miaka 19 akiwa ndani ya fani ya mziki, ambayo aliianza kuimba akiwa na miaka 18, so ukijumlisha hapo utapata jibu.Hilo ziwa ni la 19 years old? [emoji119][emoji119][emoji119] na hiyo sura je? Basi watoto siku hizi wanazeeka kabla hawajakuaView attachment 1197781
''Kwasasa nina miaka 19, natarajia kuolewa nikifikisha miaka 25'' - @luludivatz
Celebrities wa bongo hawaishi vituko, halafu eti hawa vichwabox ndio tunaowategemea watupeperushie bendera yetu huko ulimwenguni? Tuna safari ndefu sana.
View attachment 1197775View attachment 1197776
Utamtambuaje mwanamke mzee?
Manyonyo kuwa bata au umoja
Sura kuwa ngumu
Kwapa kukomaa
Mikono kuota sugu kwa nyuma na kuweka alama nyeusi
Paja kukomaa
Macho kuwa makavu
Kuota kunyanzi vidoleni
Mikono kushindwa kukunjuka yote....
Baada ya hapo kifuatacho ni kupinda mgongo....
Zifuatazo ni picha za binti na mbibiView attachment 1197785View attachment 1197787
Haya mwaya ila imethibitika sasa ako na 24Mimi naamini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utafikiri alikuwa na mashineJaguar kayavutavuta sana
Watanzania tuna safari ndefu sana.So huyo caucasioan kwa vile mweupe amejaa ni binti.?Utamtambuaje mwanamke mzee?
Manyonyo kuwa bata au umoja
Sura kuwa ngumu
Kwapa kukomaa
Mikono kuota sugu kwa nyuma na kuweka alama nyeusi
Paja kukomaa
Macho kuwa makavu
Kuota kunyanzi vidoleni
Mikono kushindwa kukunjuka yote....
Baada ya hapo kifuatacho ni kupinda mgongo....
Zifuatazo ni picha za binti na mbibiView attachment 1197785View attachment 1197787
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda kamaanisha miaka 19 akiwa ndani ya fani ya mziki, ambayo aliianza kuimba akiwa na miaka 18, so ukijumlisha hapo utapata jibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cc KhantweHawanaga kumbukumbu ya matukio waliyofanya nyumaView attachment 1198428
You have the option dudeWatanzania tuna safari ndefu sana.So huyo caucasioan kwa vile mweupe amejaa ni binti.?
Kuna wacheza mpira wengi wanajipa umri mdogo pia lakini sijawahi kuona wakikashifiwa na kutukanwa namna hii.Yaani watu wanabisha utadhani wao ndio wamemzaa, si mwenyewe kasema jamani
What option?You have the option dude
Kwa sababu wacheza mpira ni wanaumeKuna wacheza mpira wengi wanajipa umri mdogo pia lakini sijawahi kuona wakikashifiwa na kutukanwa namna hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utafikiri alikuwa na mashine
Na ukumbuke alikuwa house girl wa Ferooz enzi zile za "ninao ninao" featuring Prof J, sasa sijui hapo alikuwa amemaliza kidato gani kabla ya kuanza u-house maid miaka kumi na kadhaa iliyopita. The numbers aren't adding up.Hivi form 4 ndo kamaliza mwaka juzi au hakufikia elimu ya secondary kabisa?
Watu mnajua kuchekesha,duh....! Eti sukari guru, ha ha......!Labda ya sukari guru