Lumumba, Dar: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imetoa siku 7 kwa Kamati yake ndogo kuwasilisha taarifa ya mahojiano ya Membe, Makamba na Kinana

Lumumba, Dar: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imetoa siku 7 kwa Kamati yake ndogo kuwasilisha taarifa ya mahojiano ya Membe, Makamba na Kinana

Wanakutana ili iweje, kuna mtu wa kutoa independent wazo au wanaangalia midomo ya Jiwe inacheza cheza kwa uelekeo upo na wao wanapitiliza humo humo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajumbe hawana tofauti katika kujikunyata mbele ya jiwe
tapatalk_1581518897038.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chadema peoples power ..... rise and fall of ccm
 
Kumbe Kamati Kuu ilikaa kujadili kurejea kwa Sumaye wakati alishapokelewa na Katibu Mkuu na kupewa baraka zote...!

Tuleteeni taarifa nyingine hii haina jipya.
 
Napendezwa sana na vyama vinavyoamini katika vikao na majadiliano kwa mustakabali wa taifa letu. CCM ni mfano bora katika hili
 
Hiyo ndiyo ccm, kama zinazinduliwa wilaya na mikoa itakuwa hilo?
Kumbe Kamati Kuu ilikaa kujadili kurejea kwa Sumaye wakati alishapokelewa na Katibu Mkuu na kupewa baraka zote...!

In God we Trust
 
Labda bora kwako, tangu lini serikali ya ccm ikaheshimu vikao vya vyama vingine? Kila vyama vya upinzani vya kweli vikikusanyika kufanya vikao wanapigwa virungu na kushitakiwa
Napendezwa sana na vyama vinavyoamini katika vikao na majadiliano kwa mustakabali wa taifa letu. CCM ni mfano bora katika hili

In God we Trust
 
Kumbe Kamati Kuu ilikaa kujadili kurejea kwa Sumaye wakati alishapokelewa na Katibu Mkuu na kupewa baraka zote...!
Kilichoganyika ni kutangaza Nia na adhma ya kujiunga CCM kwa Sumaye ambapo Katibu mkuu akayapeleka kwenye kamati kuu maombi hayo. Kamati kuu ndio chombo chenye mamlaka ya kukubali au kukata arejee au laaah
 
Hakuna kitu kipya hapo. Walete taarifa yenyewe ikiwa na mambo mengine yenye tija.
 
Naona unatangaza tabia yako! Hupati mtu hapa kila mwanume ana mke wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wepi hao? Wale uliowasema kuwa wapo kazini au Kuna wengine umewaongeza? Lakini hushangazi hata kidogo Dada kipenzi kwani Kuna yule mnyama anayetumika kwa ulinzi lakini huko kwenu idegenda mnamwita shemeji na akikaa vibaya mnamgeuza mboga! Hebu punguza sifa za kuwasifia wanaume kwani mwanaume Mimi sipendagi sifa za kijinga!
 
BASHIRU ALI NI MSHAMBA AISEE HAJUI HATA( HANDSHAKE GREETINGS )ANA TUMIA MIKONO 2 BADALA YA MMOJA.
USHAMBA NI MZIGO
Screenshot_20200212-103236_Google.jpg
 
Back
Top Bottom