johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa!! kwani Lumumba siyo Dodoma bwashee!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa!! kwani Lumumba siyo Dodoma bwashee!!
Hapo kila mtu mwenye akili timamu anafahamu dikiteta uchwara ndo kapiga magoti kwa hawa jemedari.Hawakwenda Dodoma.
Wamefatwa Dar na huelewi kilichojiri mpaka wakakubali.
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Sasa kama huyo Bashite alikuwa anauza viatu cha ajabu nini hapo?Kwani wewe ulitakaje? Mnafiki hana aibu. Huna habari Bashite aliwahi kumfungia kamba za viatu Ridhwani? Ngoja nikukumbushe wewe mnafiki...
View attachment 1353862
CCM ni chama kikubwa........Chadema waliwaogopa Zitto na Prof Kitila ikawa mwanzo wa chama hicho kuporomoka!Magu atapata taabu saana yaani kinana aliyemwita mshamba ndo amekumbatiana na wanakamati ya maadili kwa mashamsham na bashasha vile,
Mkuu Jiwe wanakug'ong'a shtukA
Sawa, ila unachosahau ni kwamba Bashite alikuja kuukwaa ukuu wa wilaya baada ya kuteuliwa na baba mtu!.Sasa kama huyo Bashite alikuwa anauza viatu cha ajabu nini hapo?
Mkuu umekariri!Wote hawa walitakiwa kuwa Segerea haya ndiyo Mafisadi,kama yalivyo Mafisadi me
ngine CCM.
Kumbuka Wapemba hutambuana kwa vilemba hivyo hivyo wezi na mafisadi hulindana na kukumbukana kwani wote walipitia chuo kile kile cha Lumumba wakiitana comrade!Wote hawa walitakiwa kuwa Segerea haya ndiyo Mafisadi,kama yalivyo Mafisadi mengine CCM.
Mbona kina polepole walikula pesa za tume ya katiba?na wakawasaliti wananchi na kuzawadiwa cheo,nae aludishe pesa za tume ya katiba.Wote hawa walitakiwa kuwa Segerea haya ndiyo Mafisadi,kama yalivyo Mafisadi me
ngine CCM.
Mkuu umekariri!
Aisee!! Nyie watu kwa kuunda maneno utadhani mlikuwa ni wasaidizi wa shetani pale alipokuwa anamshawishi Eva ale tunda...Mapokezi ya namna hii ni ya kipekee kabisa hapa duniani
Hahahaaaa!! hata Lumumba ni Dodoma bwashee!Kama wewe ulivyokariri White house Dodoma,ukasahau kuwa hapo ni Lumumba,Acha unafiki uende Mbinguni.
Mkuu wewe mapokezi ya namna hii umewahi kuyashuhudia wapi?Aisee!! Nyie watu kwa kuunda maneno utadhani mlikuwa ni wasaidizi wa shetani pale alipokuwa anamshawishi Eva ale tunda...
Kivipi bwashee?!