Lumumba, Dar: Mzee Kinana na Mzee Makamba waitikia wito Kamati ya Maadili ya CCM

Lumumba, Dar: Mzee Kinana na Mzee Makamba waitikia wito Kamati ya Maadili ya CCM

Ni kipindi ambacho tunaweza kupata matatizo makubwa, asante sana wazee wetu.Ni wakati wa kumaliza mambo yetu ndani kwa ndani, Mungu ibariki Tanzania, Mungu TUONDOLEE CCM.Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM hii laana itawatafuna. Yaani Kinana ndio wakuuliza hapo kwenye video 'can I come inn' hapo Lumumba?

Mtu aliyeshiriki kuwaibia kura mkaingia madarakani mnamdhalilisha na makamera hivyo????!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usumbufu tu kwa hao wazee word on the street mzee Makamba ana early signs of ‘dementia’ kama hizo tetesi zina ukweli huyo mtu atakuwa na motivation kweli za kushiriki siasa za njama wakati huku ugonjwa wa uzeeni unamjia.

It’s even unethical kumweka kati mtu kama huyo if anything it shows lack of respect kutoka kwa Bashiru na si ajabu ndio maana January akaona aingilie kati kuliko kukaa kimya huku baba yake akisumbuliwa. Busara ni kuwaacha wazee wa watu wapumzike kwa amani kutokana na umri wao hasa Makamba.
 
Hakika CCM ni chama kikubwa.

Mapokezi ya mzee Kinana na Mzee Makamba yamefana sana kwani wamepokelewa na viongozi wakuu wa chama Mzee Mangula na Dr. Bashiru na kukumbatiwa.

Mapokezi ya namna hii ni ya kipekee kabisa hapa duniani kwa watu walioitwa kuhojiwa kwa tuhuma za matatizo ya nidhamu.

Source: ITV Habari

Mungu ibariki Tanzania

Mungu ibariki CCM

Maendeleo hayana vyama!
Siyo Dodoma ni Lumumba Dar.
 
All Is Well
US President Donald Trump
😅😄😃😂😁
 
Hakika CCM ni chama kikubwa.

Mapokezi ya mzee Kinana na Mzee Makamba yamefana sana kwani wamepokelewa na viongozi wakuu wa chama Mzee Mangula na Dr. Bashiru na kukumbatiwa.

Mapokezi ya namna hii ni ya kipekee kabisa hapa duniani kwa watu walioitwa kuhojiwa kwa tuhuma za matatizo ya nidhamu.

Source: ITV Habari

Mungu ibariki Tanzania

Mungu ibariki CCM

Maendeleo hayana vyama!
Mtu kama wewe kukosea ni dhambi kubwa! Walikuwa Lumumba si Dodoma
 
Hiyo ndio chama chakavu bhana. Hakuna kususa 😂😂😂
 
Lumumba pamekuwa White House Dodoma
Hahahaha
Wazee wamefuatwa Dar,wamegoma kwenda Dom

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Hayo hayakuwa mahojiano,baada ya kuwachomesha mahindi kwa siku mbili kule Dodoma,hatimae wamewaangukia kwa siku mbili mfululizo,na hatimaye wakaombwa kwenda Dar kuwaondolea aibu,ndiyo maana hakuna hata kakipande ka video zaidi ya picha za mnato mbili moja wakiwa wanakaa mezani,na moja Bashiru akimfungulia mlango wa gali kisha akaufunga na kumpungia mkono akimuaga,uliona wapi mtuhumiwa anafunguliwa mlango wa gali tena kwa unyenyekevu?je wamegoma hata kusalimiana hata na wanahabari kama ilivyo kuwa kwa Membe?
 
Picha inajieleza kuna tatizo. Mzee Makamba ni kama vile anasisitiza msimamo na kumwambia Bashiru "Nyie endeleeni na chama chenu" na Bashiru anaonekana kumsihi Makamba abadili msimamo na kubaki kwenye chama.
86176204_10158097875989339_7974376112450961408_n-600x400.jpg
 
Kwa kweli sijawahi ona mtuhumiwa anafunguliwa mlango wa gali [emoji23][emoji23][emoji23] Tena kwa unyenyekevu[emoji2]

Hayo hayakuwa mahojiano,baada ya kuwachomesha mahindi kwa siku mbili kule Dodoma,hatimae wamewaangukia kwa siku mbili mfululizo,na hatimaye wakaombwa kwenda Dar kuwaondolea aibu,ndiyo maana hakuna hata kakipande ka video zaidi ya picha za mnato mbili moja wakiwa wanakaa mezani,na moja Bashiru akimfungulia mlango wa gali kisha akaufunga na kumpungia mkono akimuaga,uliona wapi mtuhumiwa anafunguliwa mlango wa gali tena kwa unyenyekevu?je wamegoma hata kusalimiana hata na wanahabari kama ilivyo kuwa kwa Membe?

Stay tuned [emoji6], Everything would be alright.
 
Back
Top Bottom