Lumumba, Dar: Mzee Kinana na Mzee Makamba waitikia wito Kamati ya Maadili ya CCM

Lumumba, Dar: Mzee Kinana na Mzee Makamba waitikia wito Kamati ya Maadili ya CCM

Fiziolojia,
Yaani CCM hawapendi kushindwa. Watakuwa wamewatisha Wazee wa watu mpaka wakakubali kutokea ili kuondoa sibu. Logically huwezi kumuita kwenye kamati mtu ambaye siyo mwanachama wako.
 
Yaani CCM hawapendi kushindwa.... Watakuwa wamewatisha Wazee wa watu mpaka wakakubali kutokea ili kuondoa sibu. Logically huwezi kumuita kwenye kamati mtu ambaye siyo mwanachama wako.
Kinana yupo nyumbani kwake na hajatoa mguu kwenda kokote! Huyo mleta hoja muongo! Wamepewa assignment na polepole kupitisha kwenye mitandao ili kujifichia aibu ccm! Ndio maana polepole kakasirika na kuanza kufukua makaburi ya ufisadi wa container 700! Mbona mnashindwa kujiongeza kiintelejinsia na kuujua ukweli wa saga hili?
 
Vipi kuhusu Makontena 700 kwa Mujibu wa Chakubanga anayodaiwa Kodi ameyashalipia Kodi ya Serikali..?
 
Wakuu salama? Kuna taarifa kwamba. Makatibu wakuu wastaafu wa CCM, Yusuf Makamba na Abdulhaman Kinana wamehojiwa leo CCM, Lumumba. Mwenye kulijua hili atujuze Kama ni kweli. Maana mengi yamesemwa.
Screenshot_20200210-194645_1581353283860.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wanatia huruma hawajavaa mashati ya kijani kwa mara ya kwanza nimeshangaa Kinana huyu ninayemjua au
 
Hakika CCM ni chama kikubwa.

Mapokezi ya mzee Kinana na Mzee Makamba yamefana sana kwani wamepokelewa na viongozi wakuu wa chama Mzee Mangula na Dr. Bashiru na kukumbatiwa.

Mapokezi ya namna hii ni ya kipekee kabisa hapa duniani kwa watu walioitwa kuhojiwa kwa tuhuma za matatizo ya nidhamu.

Source: ITV Habari

Mungu ibariki Tanzania

Mungu ibariki CCM

Maendeleo hayana vyama!
2303042_83907111_286172682356323_3665813852960456165_n.jpg
2303043_84533396_212598446544398_4222913651256133255_n.jpg2303042_83907111_286172682356323_3665813852960456165_n.jpg
 
Back
Top Bottom