Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,508
- 1,566
Alexander The Great, Mlisema sana mkwere.....akaamua awaingize kingi kwa kujifanya wajuaji sana...[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usiamishe magoli, mlisema wameachana na sisiemu. Sasa kesho ukimuona kwenye kampeni unga picha tenaUkiangalia picha ya kwanza Makamba kavaa shati kijani ya pili kavaa nyeupe hata balaghashia ni tofauti... in short ni picha za kuunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeongeza sababu nyingine zaidi.... wametishiwa kulogwa, pia wameambiwa wa watasakiziwa mbwa, na hata hivyo wamepewa fedha, na pia wameahidiwa vyeo, ahaaa wahamisha magoli mna kazi!Wazee walidinda kusafiri kwenda white house dodoma mpaka wamefutwa na pia uoga wa kubambikiziwa kesi za uhujumu uchumi umefanya waitikie wito
Leo hii huyo Komando wenu amekuwa kipofu. Malipo ni hapa hapa duniani."Chezea ndevu usichezee dola... " Komandoo Salmin Amour
hamna kitu wazee wamegoma hao
jpm mjinga sana aisee!!!ngoja tuone!!!
Kuna post yoyote nilisema hawaji? Nilichotilia shaka ni huo muunganiko wa picha za post hiiMkuu usiamishe magoli, mlisema wameachana na sisiemu. Sasa kesho ukimuona kwenye kampeni unga picha tena
Dr Bashiru si yuko zenji? Imekuwaje saiv yuko Dom?
SIO KWELI
Habari wana jukwaa , hatimaye hayo ma 'heavy weigh' wastaafu wamehojiwa na kamati ya maadili ya chama cha mapinduzi mjini Dodoma leo...
kwahiyo haina haja ya kushanga kumuona zenji na dar