Lumumba, Dar: Mzee Kinana na Mzee Makamba waitikia wito Kamati ya Maadili ya CCM

Lumumba, Dar: Mzee Kinana na Mzee Makamba waitikia wito Kamati ya Maadili ya CCM

soine,
Kweli kaka ila bashiru ali akumbuke ccm inawenyewe yy katoka cuf juzi tuuu na wenye ccm ndio hao sasa kama jiwe ni jiwe kwel hajaribu kutingisha izo wazeee utasikia vikao vidogovidogo kila kona ya nchi
 
Kwanza kwa hawa wazee hakuna atake wafikia hata kamwe makatibu waliopo sasa wao wanajielekeza na serikali zaidi kuliko kukijenga chama, mzee kinana na makamba ni lulu kwa ccm hapa hatupeoesi macho. Waacheni ha wazee wakae na familia zao wapumzike
 
Ni haki yao.Kikao kina posho kikatiba.Sitting Allowance.Mikono wamenyoosha wakapokea mshiko na kurudi nyumbani siku mbili bila kikao.Hii ni sawa sawa na kusubiri lift ambayo hujui itatokea wakati gani.
Hivi osho ya kikao sio kwa ajili ya kufanya kazi - yaani kutumia intellect yako katika kujadili mambo na kufikia maamuzi ambayo ni constructive. Sasa kama hakuna kikao kilifanyika na lunch walipewa, posho ni ya nini?
 
Kuna habari ililetwa humu ikieleza Wazee hao wamejivua uanachama.

Sasa wameenda kuhojiwa wakiwa si wanachama?
 
.
1670532769655.jpg
 
Ila huu utamaduni sio mzuri,huu wa kukomoana,maana una create circle ya kukomoana huko mbele,
Hata Kama sio wewe,watoto wajukuu,vitukuu wanaweza kuja kupata tabu,
Tuishi kwa upendo,ooh
Ulisema ukanena finally yametimu
 
Heshima zenu wazee wetu kwa kufika. Ombi; Msiwaachie razi tu vijana wetu hao. Hao wote walikuwa hawaja zaliwa mlipojiunga chamani. Laiti wangewaomba wazee kuwahoji. Kweli maadili sasa kwishney
Malipo ni hapahapa
 
Kuna habari zinazosemekana kuwa mzee Makamba na Abdulrahman Kinana (makatibu wakuu wa zamani CCM) wanaweza kuhojiwa na kamati ya maadili CCM leo hii jumatatu ya tarehe 10 February, 2020.

Hii ni baada ya wazee hao wakongwe wa chama hicho kuwachomesha mahindi wajumbe wa kamati ya maadili kwa siku mbili mfulizo (ijumaa na j'mosi) ambao walikaa kuanzia asubuhi mpaka jioni kuwasubiri bila ya mafanikio.
------------ ----------- ------------ ------------ -------

UPDATE



Makatibu wakuu wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yusuf Makamba na Abdulrahaman Kinana wamefika mbele ya kamati ndogo ya Usalama na Maadili katika ofisi ndogo za CCM Lumumba Jijini, Dar

[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom