Miss mwenyewe KOMWEE kuleeeeee! Zawadi sitaki hata kuziongelea! Shindano hili ndo lala salama unazani!? We fikiria yule Salha alipata jeep ya 72 millions, Nancy alipata Nyumba tbt huko, Wema walau alilamba ki rav 4. Badala liende mbele linarudi nyumaaa!!!!!!!!
Naona ludenga anabanaaa sana operation costs ili apate profits kubwaaa! Ni hatari!
Na REDDS ama TBL wachovu tuuuu! Bora hata enzi za VODACOM walivokuwa wanamwaga radhi kwa ku sponsor 1 Billion TSH kwa ka event ka usiku mmoja! Wapi Mwammy wa ukweee!!!!!! Renee Meza kidogo AZIMIE alivosikia hio sponsorship! Aka cancel uzamini hapo hapo on spot! Bora wawatafute Serengeti, ama warudi TCC sigara mabillionea!
Hakika hili shindano limejifia.
Huwezi kumchukua sauda mwilima na yule msoma magazeti wakae pale red carpet kuhoji watu,ilifikia kipindi kuna mdadabalikuja pale ikaonekana kama yeye ndio ana host pale maana walimshindwa akawa kama yeye ndio anawafanyia interview.
Hili shindano pia ni kweli lilikosa promotion,mimi mwenyewe nili libahatisha tuu.
Poor perfomance kutoka kwa jyde ever,hakuna alicho kifanya pale zaidi watu waliimba yahya sababu ni popular song,but nothing new done. Jyde anatakiwa abadilike hile perfomance si ya kiwango chake,kifupi alikula pesa ya bure na hakuna alichofanya zaidi ya watu kusikiliza play back. Pia michael ross alijitahidi kucheza lakini alishindwa kuimba vizuri hata ule wimbo wake unao julikana.
Pia waache kutumia cd wawe wana kodi band ili watu wapate live music na si wizi ulio fanyika majuzi hili lina wahusu waandaaji.
Pia walikosa mc mzuri na wakuchangamsha shindano ni vigumu mtu kukumbuka kama kulikuwa na mc au mshereheshaji.
Hizi ni dalili kuwa hili shindano lina kwenda kufa lakini wanayo nafasi ya kujirekebisha.
Lady Jaydee kajiaibisha mno
kamfanya Diamond aonekane kama Michael Jackson
utasema kulikuwa na msiba hivi
yaani msiba wa kitaifa so mbwembwe ziwe kidogo au hakuna
so poor performance
Lady Jaydee kajiaibisha mno
kamfanya Diamond aonekane kama Michael Jackson
utasema kulikuwa na msiba hivi
yaani msiba wa kitaifa so mbwembwe ziwe kidogo au hakuna
so poor performance
Lady Jaydee kajiaibisha mno
kamfanya Diamond aonekane kama Michael Jackson
utasema kulikuwa na msiba hivi
yaani msiba wa kitaifa so mbwembwe ziwe kidogo au hakuna
so poor performance
Miss mwenyewe KOMWEE kuleeeeee! Zawadi sitaki hata kuziongelea! Shindano hili ndo lala salama unazani!? We fikiria yule Salha alipata jeep ya 72 millions, Nancy alipata Nyumba tbt huko, Wema walau alilamba ki rav 4. Badala liende mbele linarudi nyumaaa!!!!!!!!
Naona ludenga anabanaaa sana operation costs ili apate profits kubwaaa! Ni hatari!
Na REDDS ama TBL wachovu tuuuu! Bora hata enzi za VODACOM walivokuwa wanamwaga radhi kwa ku sponsor 1 Billion TSH kwa ka event ka usiku mmoja! Wapi Mwammy wa ukweee!!!!!! Renee Meza kidogo AZIMIE alivosikia hio sponsorship! Aka cancel uzamini hapo hapo on spot! Bora wawatafute Serengeti, ama warudi TCC sigara mabillionea!
bora hilishindano lifutweee mweeeeeeeeeeeeeeeh,nahisi tz warembo wameisha